Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,669
- 33,691
Hello JF,
Hii sio mpya ila nalileta kwenu tulidiscuss tena,
Baadhi ya shule za O Level na A level zigeuzwe kuwa vyuo,
Sasa hivi mtu mzima kujiunga na shule hizo za O level na A level kuna ukakasi kidogo(kuvaa sare lol😎😎),
Ukigeuza shule hizo kuwa vyuo,utawa attract watu wa rika lote,
Mature students,watakuwa comfortable kuona kuna wenzao wa rika lao darasani,
Tofauti ni kwamba vyuoni courses ziko nyingi,zitakazo wasaidia wote,wadogo na watu wazima,
Wakati mfumo uliopo sasa hivi secondary zina masomo machache na mazingira sio rafiki kwa watu wazima,
Tunahitaji educated workforce,kuelekea nchi ya viwanda,
Pia vyuo viweke vocational courses,watu wawe na choices nyingi,
Sijui kama nimeeleweka🙁🙁🙁
Vyuo