Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mwenye macho haambiwi tazama, ushahidi huu hapaaa!!. Inasikitisha Sana na kutia aibu kuona watanzania wanashirikiana kuliibia taifa letu, tena isitoshe wengine wapo mstari wa mbele kuwatetea...
10 Reactions
36 Replies
4K Views
Wasalaam... Leo kwa mara ya kwanza tangu ITV wameweka pembeni maslai binafsi na migogoro binafsi na wametujuza tena kwa urefu habari inayo wahusu wana Dar na mkuu wao wa mkoa bwana Paul...
5 Reactions
65 Replies
6K Views
Wanajamvi, Wimbi la utekaji watoto na watoroshaji kudai fedha limeibuka upya nchini katika mkoa wa Geita. Taarifa ya Kamanda wa Polisi mkoani Geita, Joseph Konyo , imesema mtekaji alitaka apewe...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Poleni na mihangaiko ya hapa na pale na ni matumaini yangu mko salama na vizuri katika kila idara[emoji109]. Kwa wale tunaotumia mtandao wa WhatsApp katika mishe zetu za hapa na pale haswa...
0 Reactions
18 Replies
46K Views
Hivi karibuni kumeibuka ajali nyingi za Mabasi ambayo yamekuwa yakiteketea kwa moto kutokana na Hitilafu mbalimbali hasa katika mifumo ya breki za mabasi hayo Hivyo nimeona ni vyema tukumbushane...
9 Reactions
17 Replies
2K Views
1. Huwezi kuandika kwa kutumia kalamu.(Hata hivyo kuna kalamu maalum za huko Space_Astronauts pens) 2. Huwezi kunywa Carbonated Drinks_yaani vinywaji vyenye gesi 3. Huwezi kuchafua anga za juu ni...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Kwenye ukurasa wake wa Instagram Alberto Msando ameandika ujumbe wa kusikitisha kuhusu vifo vya watoto hao waliotekwa na miili yao kukutwa kwenye shimo la choo mkoani Arusha, na kusema kwamba...
2 Reactions
48 Replies
5K Views
Wadau hàbari zenu naomba mnijuze hivi ni Tanzania tu ndio nchi inayoingia mikataba hewa na feki tu ama zipo nchi zingine kama Kenya Uganda Burundi Rwanda sudani nazenyewe zinamajanga kama hili...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
BEDECCA- IN TANZANIA. Busokelo Education Development for Child and Counseling Association in Tanzania. Katika semina hii iliyofanyika kuanzia tarehe 22/08/2017 hadi tarehe 24/08/2017...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Mwenye kujua dawa ya ugonjwa huu naomba msaada wake Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Basi hilo limeungua na kuteketea lote katika eneo la Manga mpakani kilometa chache kabla ya kufika Mkata, llikiwa safarini toka Dar kwenda Arusha. Hakuna vifo wala majeruhi ila mali za abiria na...
0 Reactions
80 Replies
15K Views
Eastern Cape, Afrika Kusini. Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Walter Sisulu alilala masikini na kuamka tajiri baada ya kukuta akaunti yake ikiwa na Dola 1 milioni za Marekani sawa na Sh2.2 bilioni...
5 Reactions
62 Replies
9K Views
Shirika la Afya Duniani (WHO) limebadili msimamo wake wa awali ambapo walioathirika na virusi vinavyosababisha ukimwi (HIV) ilibidi wasubiri kuwa wagonjwa kabisa kabla ya kuanza kutumia tembe za...
0 Reactions
56 Replies
15K Views
Viongozi wetu wa kiserikali bado wako gizani wakati dunia inapiga hatua kiteknolojia, mawaziri wengi hawana akaunti kwenye mitandao ya kijamii, wanafanya kazi kwa mtindo wa analojia, wakati...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamis Kigwangala, alisema wanaopata mimba shule kusoma elimu ya ufundi wakati akizungumza na waandishi wa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wana JF Naomba atakayeweza kufikisha taarifa hizi kwa wahusika afanye haraka kuwapa ujumbe huu: Mti huu uliopo eneo la Mkuyuni jijini Mwanza ni hatari kwa wanamwanza. Naomba ujumbe huu umfikie...
2 Reactions
45 Replies
9K Views
TAHADHARI! UKWELI KUHUSU WIZI WA MITANDAO YA REVENUE BRUST, ONLINE TASK PAY, YOUTHNIZER N.K. Your Payment Withdrawal Option will appear here, when you will reach you minimum payout limit of 300$...
3 Reactions
4 Replies
4K Views
Asilimia kubwa ya sisi Wtz.kulaumu Ndo msingi wa uzalendo wetu . kupunguza mwikooo. Nimesikitishwa sana na hawa watekaji wasiojua hata Nini w alikuwa wanafanya na wanataka. Ni ukatili mkubwa sana...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Mhenga Lucky Philip Dube alishawahi kuimba "Crime Does Not Pay" yaani uhalifu haulipi. Kwa dhati ya moyo wangu naamini fungate(honey moon) la mauwaji Kibiti limeisha. Wale wenye kushabikia mauwaji...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu salam kwenu, Nianze kuwatakia mtihani mwema wadogo zangu 2017. Hoja yangu ni hii inayoitwa elimu ya msingi, Nilidhani ndio msingi wa maisha ya mwanadamu katika hali zote kumbe sio. Ni...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…