Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 13,107
- 38,730
Wakuu salam kwenu,
Nianze kuwatakia mtihani mwema wadogo zangu 2017.
Hoja yangu ni hii inayoitwa elimu ya msingi, Nilidhani ndio msingi wa maisha ya mwanadamu katika hali zote kumbe sio. Ni mwaka wa 15 nipo mtaani hakuna chochote chenye manufaa katika maisha yangu ama jamii yangu kilichozaliwa na elimu hii ya msingi ingawa sikuweza kuendelea labda ndio sababu nimekwama lakini hata wale walioendelea naona nao wamekwama pia.
Nasukuma randa mtaani huku maisha yakiwa hayana mwelekeo ilhali nina familia najipa pole na wadogo zangu laki tisa na elfu 17 wanafanya mtihani,
hata hivyo nilivyokuja tu mjini ndio nimepoteza kabisa.