Dodoma sio kama dar useme utakwama kwa foleni, hivyo hakukuwa na haja ya kutumia pikipiki waliona ni vyema watumie gari na wataweza kukimbia bila kupatikana.
Dodoma hakuna population ya watu...
Freeman Aikael Mbowe Mwenyekiti wa Chadema Taifa amebadili taswira ya Uongozi wake. Freeman Mbowe ameamua kuacha kukisaidia Chama chake kukua na kushamiri badala yake anakusudia kulivunja Taifa...
Natanguliza pole nyingi sana kwa Mh. Lissu pamoja na familia yake kwa tukio baya la kijasusi lenye kuiabisha nchi yetu.
Pamoja na upelelezi unaoendelea, napenda kuishauri Polisi na pia chama cha...
Nimekutana nayo hii at allafrica.com
East African Business Week (Kampala)
Tanzania: New Hope As Petra Diamonds Takes Over Mwadui
7 March 2009
Email|Print|Comment
Share:
Dar Es Salaam...
Ulikuwa umeishika vibaya na ikakuponyoka na kuangukia kwenye beseni..au kwenye dimbwi la maji… au kwenye sehemu ya kuogelewa (Pool).. Hizo ni baadhi tuu ya maeneo ambayo yanaweza sababisha simu au...
Juma George Chikawe
Kwanza kabisa nianze kwa kusema nimeumizwa sana na shambulio la silaha alilofanyiwa Ndugu yetu, Mh. TUNDU ANTIPAS LISU, na kumsababishia majeraha makubwa sana. Jambo hili...
Kuna Mwasiasa mmoja huku nchini Puerto Rico ambako kiukweli ndiyo makazi yangu ya muda mrefu kuliko hata huko nyumbani nchini Rwanda anaitwa Ndutu Ssuli nadhani wale wafuatiliaji wakubwa wa Siasa...
Habari,
VIMBUNGA;
Baada ya kimbunga HARVEY kuisulubu miji ya Hauston,Texas nchini marekani na kusababisha vifo na madhara makubwa kuwahi kushuhudiwa. Kimbunga kingine IRMA kilichoanzia nchi za...
Katika kituo Cha television Cha Norway ,kila inapofika jumatano wana kipindi Cha global music, wanapiga za Asia. America ,Africa Na ulaya,
Nashangaa kwa Africa mashariki wanapenda sana music huu...
Habar wana JF
kama mada juu ilivyo hapo.
Hawa wanawak wene midomo kwa nn wanakuwa wagumu kuelewa . hata umfahamishe vipi hasikii. Au wanaona sifa
Naomba kujuwa kwa nn wanakuwa hivi.?
Sent using...
Ndugu zangu tokea jana Dogo anaumwa,hela ipo kwenye simu nimeenda hospitali nikijua nitatoa hela mpaka sasa hivi nimekwama nikiwapigia wananizingua ,nimeonekana kama tapeli hapa hospitalini...
Press here or See below for English version - Angalia chini habari kwa Kiingereza
TAZAMA MWENDO WA SAYARI ANGANI KATIKA WIKI MBILI ZIJAZO
Unaweza kutazama mwendo wa sayari ya Mushtarii (Jupiter)...
Wadau kwema??
Last week siku kama ya leo Ijumaa majira ya saa mbili usiku nililipia kifurushi changu cha Azam. Kwa kua kulikua na Bei Mpya na Vifurushi vipya nikasema nilipie tu kifurushi cha...
Kosa moja ambalo lingeweza kupoteza mwelekeo wa mazungumzo yanayoendelea hivi sasa dhidi ya accasia na Tanzania lilikuwa lifanyike, lkn Magufuli kwa kasi ya ajabu akajifuta.
Wazungu pamoja na...
Timu ya madaktari waliookoa uhai wa Mh. Tundu Lissu kwa huduma ya dharura Dodoma General Hospital wakiwa chini ya Dr. Mpoki (katibu mkuu W/ Afya) Dr. Mponda (Orthopaedic) Dr. Samuel...
Kuna jambo moja ambalo linaonekana wazi katika haya matukio matatu;
1. Kutekwa kwa Roma mkatoliki
2. Kutolewa bastola hadharani kwa Nape Nnauye
3. Kushambuliwa na risasi kwa Tundu Lisu.
Jambo...
September 8, 2017
Tahariri: Serikali Isiache Ihusishwe na Jaribio la Mauaji ya Lissu; Ijisafishe!
ShareTweetPinMail
Share this on WhatsApp
Na. M. M. Mwanakijiji
Haijalishi nani amefanya...
Ni takribani miaka miwili sasa siasa za Tanzania zimebadirika mno labda kwa namna ambayo pengine mtu usingeweza fikiri itakuwa kama ilivyo leo na pengine pia ndo mabadiriko yanayoonekana...
1: Walimuuwa Alphonce Mawazo (Chadema) kwa mapanga mchana kweupe.
2: Walimteka mwanamuziki Roma mkatoliki anayefanya harakati za kuikosoa serikali kupitia nyimbo zake na kumtesa kwa siku kadhaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.