Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna jambo moja ambalo linaonekana wazi katika haya matukio matatu; 1. Kutekwa kwa Roma mkatoliki 2. Kutolewa bastola hadharani kwa Nape Nnauye 3. Kushambuliwa na risasi kwa Tundu Lisu. Jambo...
11 Reactions
32 Replies
4K Views
September 8, 2017 Tahariri: Serikali Isiache Ihusishwe na Jaribio la Mauaji ya Lissu; Ijisafishe! ShareTweetPinMail Share this on WhatsApp Na. M. M. Mwanakijiji Haijalishi nani amefanya...
4 Reactions
6 Replies
2K Views
Ni takribani miaka miwili sasa siasa za Tanzania zimebadirika mno labda kwa namna ambayo pengine mtu usingeweza fikiri itakuwa kama ilivyo leo na pengine pia ndo mabadiriko yanayoonekana...
5 Reactions
13 Replies
3K Views
1: Walimuuwa Alphonce Mawazo (Chadema) kwa mapanga mchana kweupe. 2: Walimteka mwanamuziki Roma mkatoliki anayefanya harakati za kuikosoa serikali kupitia nyimbo zake na kumtesa kwa siku kadhaa...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
leo gazeti la mwananchi limeripot kuwa mkuu wa mkoa wa mtwara mama Halima Dendego amesema alitarajia mkoa huo kuwa wa mwisho kitaifa kwenye matokeo yaliyotangazwa juzi na baraza la mitihani taifa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Taarifa kwa watanzania wanao tumia route hiyo madereva wamegoma kwa kile kinachodaiwa kulazimishwa nauli ya miatano badala ya mia sita Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Vijana wengi siku hizi hujikuta wakipandikizwa mawazo kwamba mafanikio hayaji bila mtu kufanya aina fulani ya kazi. Wahubiri wa mawazo haya wanapima tija na heshima ya kazi kwa mizani ya kipato...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimejaribu kufuatilia kwa kina taarifa za kamati zote mbili za uchunhuzi wa mchanga wa madini yanayosafirishwa kwenda nje na kampuni ya ACACIA, Binafsi ninaona kama zina ukweli lakini napata shida...
2 Reactions
41 Replies
5K Views
Mitihani ya darasa la saba ilifanyika nchi nzima juzi na jana. Lakini mdogo wa Mbalu, Keneja Madirisha (8) ambaye alikuwa darasa la pili katika shule hiyo, pia alifariki dunia usiku wa kuamkia...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimetishiwa na Watu hapa ati Kama mimi ni Mwanaume Nije Tanzania nitakiona, ati Nitatekwa, Nitashikwa, Nitafungwa. Tutaona! Sana sana Wanaweza Kuninyima Viza. Nageuza zangu Naenda Nairobi au...
6 Reactions
54 Replies
9K Views
Mheshimiwa Waziri pole na shughuli zako za kazi na hongera sana kwa kazi yako nzuri ya kuwahudumia wananchi.Naomba awali ya yote kuitambua kazi yako nzuri ya kutwaa mashamba yasiyoendelezwa, ili...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHJF), Anne Makinda (katikati), akiongozana na Mwenyekiti wa Bodi ya Kairuki Hospitali, Kokushubila Kairuki (kushoto), wakati wa uzinduzi wa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu wadau kwa sasa nipo mkoani kigoma nipo mji unaoitwa UJIJI . Moja kati ya vitu nilivyojifunza huku ya kwamba UJIJI ni mmoja kati ya miji ya zamani sana lakini pia kitu nilichoweza...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Inasikitisha kuwa viongozi wa dini wakisemwa tu, mnafuta uzi harakaharaka. Wao ni watu wana wajibu wa kukemea haya yanayoendelea. Wacha nao wakumbushwe wajibu wao. Wanasahau kuwa Askofu Janan...
0 Reactions
1 Replies
890 Views
Wakati Mtuhumiwa wa matukio ya utekaji watoto, Samsom Petro (18), ambaye jana alifikishwa Arusha kwa ajili ya kuonyesha sehemu alipowaficha watoto, amebainika kuwa anaishi na kaka yake ambaye ni...
1 Reactions
26 Replies
6K Views
Jeshi la Polisi linamshikilia mwalimu mmoja wa S/Msingi Ng'ingula kwa tuhuma za kusababisha kifo cha mwanafunzi kwa kumchapa viboko. ======= JESHI la Polisi mkoani Iringa linamshikilia...
2 Reactions
32 Replies
5K Views
Comrades Salaam. Jana tumeanza majadiliano juu ya nia ya mwajiri ya kupunguza shughuli za uchimbaji wa madini katika mgodi wa Bulyanhulu. Katika hotuba ya kufungua mjadala huo, Meneja Mkuu wa...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Kwanza kabisa nianze kuwasalimia wote, natumaini mu wazima wa afya na mpokatika mapambano ya maisha ya kila siku. Nimekwazika mno na huduma za TTCL, mhe Raisi anajitahidi kuwainua muwe...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Ni ukweli usiopingika vijana wengi waliotoswa na baba zao wakati wa makuzi wengi wao wamefanikiwa kimaisha, Wapo wengi waliokosa huduma muhimu kutoka kwa wazazi wao mfano ada ya shule na...
14 Reactions
50 Replies
5K Views
Back
Top Bottom