Newera
Senior Member
- Mar 8, 2017
- 132
- 202
Ni ukweli usiopingika vijana wengi waliotoswa na baba zao wakati wa makuzi wengi wao wamefanikiwa kimaisha,
Wapo wengi waliokosa huduma muhimu kutoka kwa wazazi wao mfano ada ya shule na michango, mavazi, matibabu upendo ila wengi wamefanikiwa kimaisha baada tu yakujitambua na kuonyeshwa njia sahihi za kupita na watu mbalimbali,
Wapo waliokosa michango ya shule na kurudishwa nyumbani kisha mzazi kumjibu acha shule, wamekaza katika elimu na kujitosa na mishe zingne sasa wapo mbali kimaisha, ni story nzuri ndefu ya kusisimua katika maisha ila kwa leo tuseme hivi
1. Usikate tamaa
2. Amini unachotaka utafanikiwa
3. Vuta picha za maisha unayoyataka
4. Amini mama ndio mtu wa ukweli kuliko wote duniani hata kama alikutupa kwenye mfuko wa rambo jua kuna sababu zilizofanya afanye hivyo.