Elewa sehemu ya Bulyanhulu na mhimili wake

Ng'wanapagi

JF-Expert Member
Sep 18, 2013
9,125
8,626
Ni sehemu kwa jina lingine iliitwa "mama huruma" maana yake ni kuwa; huwezi kupata shida za kudumu.
Kujulikana kwa mji wa Kakola na viunga vyake ni kutokana na uwepo wa mgodi wa Acacia, biashara za maduka ni sababu ya kuwepo kwa mgodi wa Acacia, kuwepo kwa vyombo vya usafiri hadi mabasi ya moja kwa moja Dar ni sababu ya kuwepo kwa mgodi wa Bulyanhulu, majengo ya wafanyakazi yenye ramani za kimagharibi, uwepo wa hospital ya kisasa katika Kijiji cha Bugarama na secondary ya kisasa Bugarama ni sababu ya kampuni ya Acacia na mgodi wa Bulyanhulu. Uwepo wa msongamano mkubwa wa watu maeneo ya vijiji vinavyozunguka ni matokeo ya uwekezaji mkubwa wa kampuni ya Acacia. Kuibwa kwa makinikia na leo mgodi kutangaza kusimamisha wafanyakazi 1200 (kama nilivyotumiwa taarifa kupitia gazeti la Acacia) katika kampuni ya Acacia ni kumbukumbu ya kumkumbuka Mkapa na Jakaya kwa namna walivyokuwa wapiga.................. Msimamo wa raisi Magufuli na huenda kuwa mgumu kushaurika ni mwanzo na mwisho wa Bulyanhulu na ndoto za kuifanya jamii ya Bulyanhulu kuishi kama wenzao wa Ashanti Ghana. Bado naamini kuwa wa Canada na Waustralia si sawa na Wachina ama makaburu watakapopata nafasi katika kuuendesha mgodi huu.
I was a miner and am a miner. Poleni sana wafanyabiashara mlioko Kakola, Bugarama na Ilogi kwani nafahamu kitakachofuata kwani biashara zote zinategemea katikati na mwisho wa mwezi. Poleni pia mliokopa kwenye mabenki. Nitarudi siku nikifukuzwa huku
 
kuongezeka kwa tatizo LA ajira za watanzania
 
Anayekupinga haelewi ukweli halisi.Ni kweli kabisa ukikuta mahali kuna mgodi au hata kiwanda kikubwa sana ukiona kamji kadogo pembeni ujue ndio kanasababishwa na uwekezaji huo.Subiri watu wenye nyumba na guest za kupanga na maduka uone watakavyo yumba.Ieleweke kuwa wafanyakazi wa hapa wengi ni wa kutoka nje watarudi makwao na kwenda kupata ajira sehemu zingine wenyeji watabaki wanaumia kila kitu kina faida na hasara zake
 
Mkuu fafanua kwa sababu yeye kachambua anavyojua yeye.. wewe unasemaje?
Bila Mgodi wa Bulyanhulu (ajira na uwepo wa watu wengi) hakuna usitawi tena wa miji ya Kakola na hiyo niliyoitaja. Ili pawepo na maendeleo ni sharti pawepo na source ya uchumi, infrastructure nk. Jamaa hawa washaomba muda mrefu kuweka lami barabara zinazounganisha migodi lakini serikali ikaomba ipewe hizo pesa na wajenge wao but wakaishia kupiga pesa. Mgodi wa Barrick uliomba kujenga VETA ya kisasa kijiji cha Bugarama kiko kama Km 5 tu kufika maeneo ya mgodi ili wawe wanavuna wafanyakazi waliopikwa hapo lkn serikali zilizopita zikapeleka VETA Moshi. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, maadui wa maisha yetu sio wawekezaji isipokuwa ni hawa hawa wateule wetu.
 
Anayekupinga haelewi ukweli halisi.Ni kweli kabisa ukikuta mahali kuna mgodi au hata kiwanda kikubwa sana ukiona kamji kadogo pembeni ujue ndio kanasababishwa na uwekezaji huo.Subiri watu wenye nyumba na guest za kupanga na maduka uone watakavyo yumba.Ieleweke kuwa wafanyakazi wa hapa wengi ni wa kutoka nje watarudi makwao na kwenda kupata ajira sehemu zingine wenyeji watabaki wanaumia kila kitu kina faida na hasara zake
Mkuu nashangaa sana huyo jamaa kuniita sina akili. Mimi nimezaliwa maeneo hayo bado nikiwa darasa la pili napeleka mapera hapo Bulyanhulu (zamani wakiita Bariadi maana wanantuzu wa Bariadi walipabatiza jina hilo), ilikuwa ukipanda gari saa kumi na moja asubuhi unafika Kahama saa 12 jioni leo hii unatumia saa 1:30 tu. Kakola ulikuwa mji uliozekwa kwa mabati kuwekewa mawe juu. Leo kuna Hotel za ghorofa na zingine kali. Mchanganyiko wa watu kutoka maeneo mbali mbali umepunguza hata imani zetu za kishirikina ukanda huu. Nimefanya biashara kufuata bidhaa Uganda (cosmetics na nguo) lakini wateja waliokuwa wana afford bei ni hao wanaofanya kazi mgodini. Bar na maduka mengi yako maeneo hayo kwa sababu ya mgodi tu. Kama huyu ndugu anayeniita sina akili aje na maelezo yake hapa tuone
 
Anayekupinga haelewi ukweli halisi.Ni kweli kabisa ukikuta mahali kuna mgodi au hata kiwanda kikubwa sana ukiona kamji kadogo pembeni ujue ndio kanasababishwa na uwekezaji huo.Subiri watu wenye nyumba na guest za kupanga na maduka uone watakavyo yumba.Ieleweke kuwa wafanyakazi wa hapa wengi ni wa kutoka nje watarudi makwao na kwenda kupata ajira sehemu zingine wenyeji watabaki wanaumia kila kitu kina faida na hasara zake
Akawaulize wakazi wa NZEGA ndo atajua madhara ya Kiuchumi baada ya mgodi kufungwa...

-Domhome-
 
Back
Top Bottom