'Mtoto wa Nyani' ahukumiwa miaka 9 jela kwa kubaka na kulawiti

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,380
20,647
DAR: Mahakama ya wilaya Ilala imemhukumu kifungo cha maisha jela Baraka Joshua maarufu 'Mtoto wa Nyani' kwa hatia ya kubaka na kulawiti mtoto wa miaka 9
 
Huyu Dogo namjua nimesikitika kwa alichokifanya japo ilikuwa ni ngumu kwake kuongea alikuwa bado hayupo vzr sana alikuwa anameza dawa zake za akiri km sijakosea ila yule mlezi wake alikuwa anamtumia km kitegauchumi
 
Kitega uchumi cha kubaka au?
 
nadhani huyu kijana ndo yule aliewah kiandikwa kwenye magazeti kipindi flani hivi..alikutwa anaishi porini tangu mdogo kalelewa na nyani..wakamtoa kule nakumleta huku uraiani...sio huyu?
 
Bora huyu Mtoto wangemwacha kule Polini akaishi na Nyani, kakaa miaka 5 Kule, alishaanza kujifunza tabia za Nyani, Binadamu wakamtoa kule wakamleta huku Duniani, hawakutaka kutumia muda wao kumjenga juu ya Mazingira mapya ya Duniani, wakamwacha tu ajifunze Mwenyewe, kajifunza mwenyewe sasa Wanadamu wamekuja na kumwambia hukutakiwa kujifunza uloyafanya!

Binadamu Wabaya, nna uhakika kwa historia ya maisha yake kama ingekuwa kwa wenzetu, hukumu yake ingeangalia vitu vingi na isingekua Maisha gerezani.
 
DAR: Mahakama ya wilaya Ilala imemhukumu kifungo cha maisha jela Baraka Joshua maarufu 'Mtoto wa Nyani' kwa hatia ya kubaka na kulawiti mtoto wa miaka 9
Haya bana,umenipata...Yaani mmeanza kuweka headlines kama za magazeti ya udaku humu JF!!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom