Jambo moja limejirudia kwenye matukio matatu

Paul Alex

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2012
Posts
4,346
Reaction score
9,846
Kuna jambo moja ambalo linaonekana wazi katika haya matukio matatu;
1. Kutekwa kwa Roma mkatoliki
2. Kutolewa bastola hadharani kwa Nape Nnauye
3. Kushambuliwa na risasi kwa Tundu Lisu.

Jambo hilo ni mipangilio ya hovyo (poor organization).

Ukiangalia kwa umakini utaona kwenye matukio yote kunakua na wazo ila hakuna mipangilio iliyonyooka.

☞kwenye tukio la Roma mkatoliki hakukuwa na plan ya ku-manage media fallout, hakukuwa na plan ya nini chakufanya kwa Roma baada ya kumteka, hakukuwa na wazo lolote kama kumteka ni suluhu. Na ilivyokuja kuwa ni kuwa malengo ya kumteka Roma hayakufanikiwa na mwisho ni kama anavyosema Roma. Ripoti ya upelelezi akaiteka mtekaji.

☞Kwa Nape Nnauye- what a disaster?
Choice ya personnel ilikuwa mbovu, mhusika alikuwa na jazba akashindwa kuwa professional, watekelezaji hawakuwa na plan B na wakajichoresha mbele ya Camera. Mwisho wa siku Nape akafanikiwa kufanya press conference aliyokusudia.
Total failure kwa organizer.

☞Kwa Tundu Lisu, au wapigaji hawakuwa professional au mioyo yao haikutamaani kufanya walichofanya. kati ya risasi takribani 30, tano tu zinakuwa on target na hakuna hata moja iliyopiga fatal areas. Yaani 15% ya risasi ndio zililenga target na 0% ilikuwa killer blow.
Wapigaji walikuwa wanajipigia tu bila hata kujua target iko wapi kutokana na tinted iliyokuwepo.
Total failure kwa organizer, Tundu Lisu yuko hai.

Kitu kingine kinachoonekana ni ile hali ya kutokujali. Yani whatever the outcome,don't care. Unaweza kudhani ,au ni ile 5minutes justice iliyosemwa Zanzibar?

Pole sana kamanda Lissu
The world will react
 
Yn hapo kwenye risasi 30 ndio wamechemka..
Walikua wanarusha km wehu...hawakujipanga vizr na mission yao...pole kwao..
Lkn kwa sisi tunao amini Mungu tunasema...Mungu kaamua kuwaonyesha kwamba anaweza kufanya njia pasipo njia...
 
Nasikia Bashite jana alikuwa Dodoma na leo asubuhi akaonekana Morogoro.

Screenshot_2017-09-08-12-58-41.png
 
Kuna jambo moja ambalo linaonekana wazi katika haya matukio matatu;
1. Kutekwa kwa Roma mkatoliki
2. Kutolewa bastola hadharani kwa Nape Nnauye
3. Kushambuliwa na risasi kwa Tundu Lisu.

Jambo hilo ni mipangilio ya hovyo (poor organization).

Ukiangalia kwa umakini utaona kwenye matukio yote kunakua na wazo ila hakuna mipangilio iliyonyooka.

☞kwenye tukio la Roma mkatoliki hakukuwa na plan ya ku-manage media fallout, hakukuwa na plan ya nini chakufanya kwa Roma baada ya kumteka, hakukuwa na wazo lolote kama kumteka ni suluhu. Na ilivyokuja kuwa ni kuwa malengo ya kumteka Roma hayakufanikiwa na mwisho ni kama anavyosema Roma. Ripoti ya upelelezi akaiteka mtekaji.

☞Kwa Nape Nnauye- what a disaster?
Choice ya personnel ilikuwa mbovu, mhusika alikuwa na jazba akashindwa kuwa professional, watekelezaji hawakuwa na plan B na wakajichoresha mbele ya Camera. Mwisho wa siku Nape akafanikiwa kufanya press conference aliyokusudia.
Total failure kwa organizer.

☞Kwa Tundu Lisu, au wapigaji hawakuwa professional au mioyo yao haikutamaani kufanya walichofanya. kati ya risasi takribani 30, tano tu zinakuwa on target na hakuna hata moja iliyopiga fatal areas. Yaani 15% ya risasi ndio zililenga target na 0% ilikuwa killer blow.
Wapigaji walikuwa wanajipigia tu bila hata kujua target iko wapi kutokana na tinted iliyokuwepo.
Total failure kwa organizer, Tundu Lisu yuko hai.

Kitu kingine kinachoonekana ni ile hali ya kutokujali. Yani whatever the outcome,don't care. Unaweza kudhani ,au ni ile 5minutes justice iliyosemwa Zanzibar?

Pole sana kamanda Lissu
The world will react
Sijasikia kauli ya Lowasa mpaka muda huu! Au hajapata taarifa?
 
yule bwana mchomoa bastola alifanya nijiulize mara 2 mafunzo yetu (askari anatumia mkono wa kulia ila bastola inapachikwa kushoto)

kama kweli (japo najua ni kweli) yule ni afande, shukrani kwa aliyejitahidi vita na malawi isitokeee tungepigwa kama nyau. maana tuna watu wa hovyo sana.
 
Watu mna roho mbaya Sana, kwahiyo kama wangeku professional kisha wakafanikiwa kwa hiyo mission yao ndio ungefurahia na kujipongeza kwa hilo? badala ya kulaani matukio haya we unawacheka ujinga eti wamefeli. Kwa taarifa yako hata ungeenda wewe pia asingefu kama mpango wa mungu ni kuishi.risasi zimetoboatoboa mlango mpaka kioo unaona bado ni wazambe? je hizo zilizo mjeruhi tumboni na miguu bado unaona ni wazembe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna jambo moja ambalo linaonekana wazi katika haya matukio matatu;
1. Kutekwa kwa Roma mkatoliki
2. Kutolewa bastola hadharani kwa Nape Nnauye
3. Kushambuliwa na risasi kwa Tundu Lisu.

Jambo hilo ni mipangilio ya hovyo (poor organization).

Ukiangalia kwa umakini utaona kwenye matukio yote kunakua na wazo ila hakuna mipangilio iliyonyooka.

☞kwenye tukio la Roma mkatoliki hakukuwa na plan ya ku-manage media fallout, hakukuwa na plan ya nini chakufanya kwa Roma baada ya kumteka, hakukuwa na wazo lolote kama kumteka ni suluhu. Na ilivyokuja kuwa ni kuwa malengo ya kumteka Roma hayakufanikiwa na mwisho ni kama anavyosema Roma. Ripoti ya upelelezi akaiteka mtekaji.

☞Kwa Nape Nnauye- what a disaster?
Choice ya personnel ilikuwa mbovu, mhusika alikuwa na jazba akashindwa kuwa professional, watekelezaji hawakuwa na plan B na wakajichoresha mbele ya Camera. Mwisho wa siku Nape akafanikiwa kufanya press conference aliyokusudia.
Total failure kwa organizer.

☞Kwa Tundu Lisu, au wapigaji hawakuwa professional au mioyo yao haikutamaani kufanya walichofanya. kati ya risasi takribani 30, tano tu zinakuwa on target na hakuna hata moja iliyopiga fatal areas. Yaani 15% ya risasi ndio zililenga target na 0% ilikuwa killer blow.
Wapigaji walikuwa wanajipigia tu bila hata kujua target iko wapi kutokana na tinted iliyokuwepo.
Total failure kwa organizer, Tundu Lisu yuko hai.

Kitu kingine kinachoonekana ni ile hali ya kutokujali. Yani whatever the outcome,don't care. Unaweza kudhani ,au ni ile 5minutes justice iliyosemwa Zanzibar?

Pole sana kamanda Lissu
The world will react
Mda mchache
FB_IMG_1504880917630.jpg
Kabla ya tukio

try me
 
Back
Top Bottom