TTCL jitahidini kwenda na kasi ya Mhe. Rais

enery

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2015
Posts
368
Reaction score
439
Kwanza kabisa nianze kuwasalimia wote, natumaini mu wazima wa afya na mpokatika mapambano ya maisha ya kila siku.

Nimekwazika mno na huduma za TTCL, mhe Raisi anajitahidi kuwainua muwe wapambanaji kama makampuni mengine. Lakini huduma zinazidi kuwa kudodola badala ya kuongezeka thamani.

Hongeni hongereni kwa TTCL PESA.

Nakuja katika mapungufu yenu sasa.

Kwanza mmeleta laini za 4G tu mjini mkiwa mmewatageti watumiaji wa smartphone pekee, mmesahau kuwa watumiaji wengi ni wa simu za kawaida ndogo, hivyo mlipaswa kuwa na laini zinazoweza fanya kazi katika simu ya aina yoyote ile.

Pili TTCL PESA kama laini zenu zinafanya kazi katika smartphone mnategemea wakala atumie smartphone, kitu ambacho hakiwezekani mawakala wanahitaji simu ndogo kuweza kuandika namba kwa urahisi na uharaka zaidi.

Juzi nimeenda katika duka moja la TTCl ambalo kwa nje mmejitahiji kuliremba kwa uzuri uvutiao, nilipoingi ndani nilikuwa wamama wa kutosha watoao customer care lakini uzoefu na huduma si nzuri kama watoazo wadada wengine katika maduka ya vodacom, Tigo nk.

Hivyo boreshini huduma plz wamama wanafanya kazi kwa mazoea mmewapa computer ambazo daah ni tatizo kwao kabisa niliona.

Hayo tu nitarudi kwa mengine zaidi
 
hayo tu nitarudi kwa mengine zaidi
Kasi ipi?
 
Unfortunately you dont know what you are writing about, umekurupuka na kuandika upupu. inahitajika investment kubwa kufunga mitambo ya 4G. inabidi ku-roll out taratibu kutoka eneo moja kwenda jingine. Hakuna kampuni ya simu hata moja iliyoweza kusambaza huduma zake za 4G vijijini.
You need to target customers ambao wanauwezo wa kuitumia hii huduma.
Nina hakika wakiipeleka hii huduma kijijini kwenu, ni watu wawili au mmoja ana uwezo wa kutumia na kulipia Gb 1 kwa siku. Hii ni biashara au ukichaa?
 
Umeandika uongo kwa sababu TTCL imewekeza katika 4G & 3G kwa pamoja. Popote penye 4G kuna 3G kwa hapa tu naamini kabisa wewe simtumiaji wa huduma za TTCL utakuwa umetumwa.
Kuhusu wa dada unaowahitaji kuwakuta kwenye customer service centers kwa mfano; ni kituo kipi kwa DSM umeweza kumkuta mzee? Hebu fika kwenye customer service center za TTCL ziliizopo Extelecom au Kijitonyama, Pugu Rd, Ubungo Plaza, Shamo tower, Kibo complex, quality center na kwingineko uone kama kuna mtu mzima hata mmoja? Kiufupi umedanganya.
Pia simu za 3G zipo nyingi tu na wala sio smart phone; nenda kariakoo utapata simu za 3G hadi kwa sh 40,000 tena TECNO.
Acha kupotosha
 
Kabla haujaanza kucomment bila kuwa na uhakika jifunze kufany uchunguzi, TTCl najua wana 3G ndio ila kwa mijini kama una simu ndogo ya Nokia ya tochi haifanyi kazi iyo laini katika iyo simu. Mpaka uwe kijijini ndio unaweza pata huduma iyo ya 2G katika aina iyo ya simu.
usipende kuropoka ropoka bila kufanya uchunguzi
 
Wewe ndo hujafanya uchunguzi, Hivi kweli inaingia akilini hivi leo kampuni kuingiza pesa zake kuwekeza katika 2G ? Kama hujui nikufahamishe tu kuwa 2G inapotea kwa kasi na ni generation iliyopitwa na wakati, kiufupi imebaki kwenye nchi maskini. Ilitakiwa uwapongeze kwa ku-invest kwenye 3G & 4G.
Kama bado unalilia 2G basi ujue wewe si mlengwa
 
Mtandao wa hovyo sana TTCL sidhani kama wanaweza kuhimili competition iliyopo. Nilenda kununua router kuileta ofisin ikawa haikamati walipokuja wakasema kwa sababu ofisi imezungukwa na miti mingi ndo maana network haikamati. yaani ndani ya jiji tena katikati network inakua shida hivyo vijijini itakuaje?
 
Wewe ndo hujafanya uchunguzi, Hivi kweli inaingia akilini hivi leo kampuni kuingiza pesa zake kuwekeza katika 2G ? Kama hujui nikufahamishe tu kuwa 2G inapotea kwa kasi na ni generation iliyopitwa na wakati, kiufupi imebaki kwenye nchi maskini. Ilitakiwa uwapongeze kwa ku-invest kwenye 3G & 4G.
Kama bado unalilia 2G basi ujue wewe si mlengwa

Ww unaongea bila kuelewa mantiki yake huyo alieandika

Line za ttcl hazifanyi kazi kwenye simu za vitorch je unaweza kufanya huduma ya miamala kwa smartphone? Yes unaweza but ujue watu wengi watakaa wanasubiri huduma,

Kila mwenye smartphone lazima atakuwa na simu ya torch kama backup je kama smart phone yangu imezima charger and nataka kuwa hewan naweza kuweka line ya ttcl kwenye kitoch?
 
Huyu jamaa CEO wa TTCL kaingia choo cha kike, kuna kituko kafanya Jana ambayo haitamuacha salama. Huyo jamaa hana ujuzi wa kuendesha shirika kubwa kama TTCL, na hii imesababisha achukiwe kupitiliza ndani ya shirika, time will tell. Hakuna anayrmtaka huyu jamaa, mgomo mkubwa sana unanukia
 
TTCL sijaridhika na utaratibu wao simu hadi niwe nimewasha data ndio inashika mtandao.

Karibu katika T Generation
 
Kituko kipi
 
Kwanza jina la ttcl pesa limekaa kishamba sana
 
Kweli mkuu hiyo ya line zao kuchagua aina ya simu zenye 3G /4G ni kero, ukiwa na nokia/samsung/tecno ya tochi mtandao haushiki...wafanyie maboresho
 
Umeandika uongo kwa sababu TTCL imewekeza katika 4G & 3G kwa pamoja. Popote penye 4G kuna 3G kwa hapa tu naamini kabisa wewe simtumiaji wa huduma za TTCL utakuwa umetumwa.
Kuhusu wa dada unaowahitaji kuwakuta kwenye customer service centers kwa mfano; ni kituo kipi kwa DSM umeweza kumkuta mzee? Hebu fika kwenye customer service center za TTCL ziliizopo Extelecom au Kijitonyama, Pugu Rd, Ubungo Plaza, Shamo tower, Kibo complex, quality center na kwingineko uone kama kuna mtu mzima hata mmoja? Kiufupi umedanganya.
Pia simu za 3G zipo nyingi tu na wala sio smart phone; nenda kariakoo utapata simu za 3G hadi kwa sh 40,000 tena TECNO.
Acha kupotosha
Wale wamama waliopo pale shamo tower ndio wadada? Yule cashier ndio kabisa hajui hata anafanya nini! Nilikimbilia TTCL lakini changamoto zimenirudisha mtandao niliokuwa nao!
 
TTCL sijaridhika na utaratibu wao simu hadi niwe nimewasha data ndio inashika mtandao.

Karibu katika T Generation
Mkuu, unachanganya madesa. Ukizima data simu haikati mtandao, ila ukibadilisha kwenda 2G ndio network inakata. Natumia TTCL, binafsi nakereka na coverage yao tu. Mengine wanajitahidi sana.

TTCL wamewekeza kwenye 3/4G tu, hivyo simu zenye 2G hazikamati network ya TTCL.
 
Umeeleza vema mkuu.
 
Dah huyu bosi mkuu wa ttcl safi sana, ingewezekana akapelekwa na pale TBC akatunyooshee wapuuzi wale ingependeza kinoma....
 
Back
Top Bottom