Kufuatia safari ya IGP Sirro Jana kuona halisi ilivyo ktk vijiji vingine kufuatia kuuwawa kwa viongozi wawili wa kijiji hicho aliwauliza wanainchi kwa hili ilivyo hapa....nadhani itakuwa ya...
Kijana aliyepongeza wahalifu waliomshambulia kwa risasi Mhe.Tundu Lissu, ni mfanyakazi wa hoteli ya Kilimanjaro Spur Iliyopo barabara ya Old Moshi, mtaa wa Serengeti, mjini Arusha.
Facebook...
Habari wakuu.naomba mchango wa mtazamo juu ya swala la lisu kushambuliwa kwa hi kuliangalia ili swala bila kuweka siasa au mapenzi binafsi.mimi binafsi kwa uwelewa wangu shambulio hli limefanywa...
Haina maana kuwa yeye ndiye binadamu bora kuliko wengine, la hasha, Tundu Antipas Lissu ni sawa na binadamu wengine kwa sababu anachukia, anapenda anafurahi, anakasirika na sifa zinginezo...
Leo nilienda kutoa fedha crdb kupitia Atm cha kushtusha nimekuta fedha salio limepungua kwa kiasi cha milioni tano. Nimeongea na Huduma kwa Wateja crdb wananiambia kua kuna muamala ulifanyika...
Nashangazwa Sana na watanzania waliokana urai wa Tanzania na kuwa raia wa nchi flani. Halafu ndiyo wamekuwa mstari wa mbele kutukana viongozi wetu. Hawa watu wako marekani nani anayewatuma? Kama...
Nawasilisha kwenu wadau wa usafiri wa mabasi hii mada kuhusu Kampuni ya Simba Mtoto kwa safari ya Tanga -Dodoma,wamekuwa sio rafiki wala kuwa na Huduma bora kwa wateja wao,mmoja wapo ni mm...
Sehemu ya Kwanza
Habari,
Tafadhari usivuke bila kusoma uzi huu ni muhimu hata kama sio kwako bali itasaidia watu wako wa karibu. Leo nimeona niweke wazi ni jinsi gani matapeli wanavyozidi...
NYANYA ni kiungo cha chakula, si tu hutoa ladha nzuri katika mchuzi, kachumbari au mboga bali pia zina faida kubwa katika mwili wa binadamu.
Miongoni mwa faida hizo ni uwapo wa vitamin C, A na...
Kampuni ya Udalali ya Yono kesho itapiga mnada maghorofa yanayomilikiwa na kampuni ya Lugumi.
Maghorofa hayo mawili ambayo yapo sehemu tofauti moja likiwa mtaa wa Mazengo Upanga na lingine...
Wakuu nimejaribu kuwaza sana sijapata jibu kwa nini ndugu wa tundu lissu kaka na dada zake hawatoi tamko la familia kulaani hili tukio tena wengine Zaidi Ya kuwa ni ndugu wa damu Uzao wa marehemu...
September 8, 2017 ajali iliyohusisha gari la Polisi likiwa limebeba Mahabusu limegongana na gari aina Toyota vits na kusababisha Askari mmoja na Mahabusu mmoja kujeruhiwa na kukimbizwa Hospital ya...
Hakika Busara ni neno zito,
Busara ya Taifa ilipotelea kwenye vyeti, hapo ndipo jahazi lilipoanza kuyumba, nahodha akaanza kuwatosa watu kwenye Maji ili jahazi lisizame, nahodha aliamini chanzo...
Nimeleta Mada/Uzi huu, kujaribu kupata maoni na sheria inavyo elekeza dhidi ya mada hapo juu.
Kuna katazo, ama ruhusa inayoelezea ni nani..? wakati gani...? Katika mazingira yapi..? anaweza...
Baada ya tukio la shambulio la siraha nzito lililompata muheshimiwa TUNDU LISSU limenirudisha nyuma na kulikumbuka tukio la mauaji ya sheikh wa mji wa Mombasa, SHEIKH ABOOD ROGO ambaye by the time...
Kuna tuhuma ya wizi wa pesa za miradi za Unicef 41 mln zimeliwa ktk mazingira ya kutatanisha na kumekuwa na danadana za nani kala pesa hizo ukweli ukiwa DED na DT ndiyo wahusika wakuu.
Mkuu wa...
Hakimu Khalfan Ulaya aliyeshambuliwa kwa mapanga nyumbani kwake Mtwara amefariki dunia leo katika Hospital ya Muhimbili, Mkwe wake athibitisha.
=====
Bwana Khalfani Ulaya ambaye ni Hakimu Mkazi...
Habari zenu wana jukwaa.kama kichwa cha mada kinavyo jieleza
hapo juu.HIVI TANZANIA TUNA ASKARI WA KUJITEGEMEA?
naomba kufahamishwa kwa yeyote anaye fahamu kuhusu hilo.
NATANGULIZA SHUKRAN
sent...
Kwenye kipindi cha Magazeti Leo Asubuhi TV ya Chanel 10 wameamua kuvunja Sheria ya Kusoma vichwa vya habari vya Magazeti kwa Kusoma Habari inayo muhusu Mh.Makonda kwa ukamilifu tofauti na Amri...
Mkuu wa Polisi wa Wilaya (OCD) ya Sikonge ameagizwa kuchunguza tukio Polisi mmoja wilayani humo kumtolea lugha ya kejeli mwananchi akimhusisha na Mkuu wa Wilaya hiyo mapema mwezi Aprili mwaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.