Going to Next Level, Nakuja Tanzania November 2017

TL. Marandu

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
3,625
Reaction score
5,816
Nimetishiwa na Watu hapa ati Kama mimi ni Mwanaume Nije Tanzania nitakiona, ati Nitatekwa, Nitashikwa, Nitafungwa. Tutaona!

Sana sana Wanaweza Kuninyima Viza. Nageuza zangu Naenda Nairobi au Lilongwe, siwezi Mimi Kutishiwa Kisiasa Kuja Africa. Nitaaga hapa Vizuri.

Na some of my Friends who are "Fools" will be following up on me daily!
 
Labda ukapewa Viza vizuri tu.

Unauhakika utakuwa salama kiulinzi ukienda Bongo? Umejipangaje?
 
Mwanaume uzaliwa Mara moja na kufa Mara moja nenda Bongo ukale dagaa wa kigoma na pweza
 
Mkuu usijaribu kuja Bongo watakugawana kama mpira wa kona.
 
Nimetishiwa na Watu hapa ati Kama mimi ni Mwanaume Nije Tanzania nitakiona, ati Nitatekwa, Nitashikwa, Nitafungwa. Tutaona!

Sana sana Wanaweza Kuninyima Viza. Nageuza zangu Naenda Nairobi au Lilongwe, siwezi Mimi Kutishiwa Kisiasa Kuja Africa. Nitaaga hapa Vizuri.

Na some of my Friends who are "Fools" will be following up on me daily!

Kwani wewe ni Nani? Shimboni Meku!
 
Nimetishiwa na Watu hapa ati Kama mimi ni Mwanaume Nije Tanzania nitakiona, ati Nitatekwa, Nitashikwa, Nitafungwa. Tutaona!

Sana sana Wanaweza Kuninyima Viza. Nageuza zangu Naenda Nairobi au Lilongwe, siwezi Mimi Kutishiwa Kisiasa Kuja Africa. Nitaaga hapa Vizuri.

Na some of my Friends who are "Fools" will be following up on me daily!
US Citizen Tobias L. Marandu: why you wanna risk your "Dollar Millionaire" ass being assassinated? Aren't you happy and content chillin' in your little studio apartment after a hard day's work at Walmart drinking your $3 wine and rambling on youtube about Magufuli and Bashite till the break of dawn?
 
US Citizen Tobias L. Marandu: why you wanna risk your "Dollar Millionaire" ass being assassinated? Aren't you happy and content chillin' in your little studio apartment after a hard day's work at Walmart drinking your $3 wine and rambling on youtube about Magufuli and Bashite till the break of dawn?[/
US Citizen Tobias L. Marandu: why you wanna risk your "Dollar Millionaire" ass being assassinated? Aren't you happy and content chillin' in your little studio apartment after a hard day's work at Walmart drinking your $3 wine and rambling on youtube about Magufuli and Bashite till the break of dawn?

"Here I am at Walmart"

Mind your own business! Acha Kujipendekeza, dont waste your time on a guy in "a studio Apt." Can you tell who is goin to Assassinate me? Is it you? Mind you I snapshot every threat!
 
siku ulivokuwa unaitukana serikali nyuma ya pc ulihis uko salama?.karibu venezuela
 
"Here I am at Walmart"

Mind your own business! Acha Kujipendekeza, dont waste your time on a guy in "a studio Apt." Can you tell who is goin to Assassinate me? Is it you? Mind you I snapshot every threat!

Kila siku unapiga kelele kuhusu wanasiasa kupindisha utaratibu wakati wewe mwenyewe unafunga wires na electrical equipments bila kujali/kutumia electrical safety gloves...nimekudharau sana kuanzia leo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimetishiwa na Watu hapa ati Kama mimi ni Mwanaume Nije Tanzania nitakiona, ati Nitatekwa, Nitashikwa, Nitafungwa. Tutaona!

Sana sana Wanaweza Kuninyima Viza. Nageuza zangu Naenda Nairobi au Lilongwe, siwezi Mimi Kutishiwa Kisiasa Kuja Africa. Nitaaga hapa Vizuri.

Na some of my Friends who are "Fools" will be following up on me daily!

Njoo tu, na nauli utarudishiwa😀😛😀

Kama hutaki kufuatiliwa daily unawekaje story zako binafsi hapa. Diaspora wengine bwana!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom