Madalali matapeli wa kupatana hawatanisahau.
Walitangaza nyumba kupitia kupatana, nikawatafta kesho yake wakanipeleka kwenye nyumba, wakaifungua nikaikagua kisha wakatengeneza mwenye nyumba feki...
Mbinu hii ya kuvamia na kuua ina madhara makubwa sana, kama lengo lake lilikuwa ni kuwatisha Wanasiasa na Wanaharakati, walioibuni hawaku-calculate madhara yake.
Madhara yake ni visasi, visasi...
Nikiwa kama Mkristo tena dhehebu la Kanisa Katoliki ambaye leo niliweza kuhudhuria Ibada yangu kama kawaida huku huku Kwetu nchini Puerto Rico nilipo kimakazi huyu Kasisi ( Padre ) aliyeendesha...
Serikali kupitia wizara ya afya, maendeleo ya jamii jinsia watoto na wazee imetangaza kuanzia leo ni marufuku kwa vyombo vya habari vyote, social media na njia zingine za kupashana habari...
Kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa wa Mara imepokea boti nne za kisasa kutoka kwa Mkuu wa majeshi ya ulinzi nchini Jenerali Venance Mabeyo kwa ajili kusaidia shughuli za doria katika Ziwa...
Wala haihitaji diploma.....wamiliki waving'amuzi wamewahonga....zile channel za bure zimeishia wapi....hawa azam TV wanajiongezea bei za huduma watakavyo...mbarawa kimyaaaa....Mmehongwa
Sent...
Nafikiri walimsikia jana mwenyekiti wetu bwana Katambi kwenye press
Hakuna muda wa kupoteza maana police hawawajui waliompiga risasi tundu lisu
Pamoja na matukio mengine yaliyowahi kutokea ambayo...
Meneja wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Kilimanjaro, Mahawa Mkaka amesema wanadai zaidi ya Sh1 bilioni polisi mkoani hapa kutokana na malimbikizo ya madeni ya muda mrefu...
Uzalendo limekuwa neno kuu katika siku za karibuni. Na wengi wetu tunatafsiri kama ni kuipenda na kuiweka Nchi yako mbele. Lakini sifa nyingine muhimu sana ya uzalendo ni kujitolea kwa faida au...
Salute.
Kuna wakati unapofanya kitu, unaweza kuwa unajiwekea mipaka ya kufikiri na ukadhani na wengine wataishia kufikiria inapoishia wewe.
Hakuna anaejua aliehusika na shambulizi lililompata...
Katika makuzi na masimulizi mengi niliyopata, nimekuwa muumini mkubwa wakupenda kujua na nilifanikiwa kujua kuwa mtu fulani kafa! Lakini vifo vingi na vyenye utata huelezwa kuwa mtu huyo kauawa...
Tumekuwa na utamaduni wa kujadili mada mbalimbali humu JF katika majukwa tofauti tofauti.
Lakini jambo linalotukwamisha katika kufikia malengo ya mijadala yetu ni namna tunavyojadili ambapo...
Japo mboga alizokula hazikutajwa, polisi ilileza kuwa mtuhumiwa wa kitendo hicho ni Victoria Wiliamu (25), mkazi wa mtaa wa Loleto Nyakato, wilayani Ilemela mkoani Mwanza.
Alifanya kosa hilo la...
Nimeshindwa kuelewa niweke neno gani ambalo linaweza kushabihiana na neno gaidi,maana Tanzania hatuna ugaidi ila nataka nikwambie tu kwamba watu wanaoteka au kutesa watu hapa Tanzania ni hatari...
Mnada wa nyumba zinazomilikiwa na Kampuni ya Lugumi Enterprises Limited zilizopo Mbweni na Mtaa wa Mazengo Upanga jijini Dar es Salaam unafanyika leo Septemba 9.
Kampuni ya Udalali ya Yono ipo...
Hello JF,
nimeona mahali,nikaona niilete kwenu,.........................
Kila mtu aandikishwe kwenye daftari la afya,..........................
Apimwe na aandikishwe afya...
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mchanganuo ukoje kwa Basi na kwa treni nauli inagharimu kiasi gani?
Kwa basi tu inachukua muda gani na treni muda gani?
Asanteni.
Sent using Jamii...
Evarist Chahali, Afisa usalama wa taifa mstaafu
Wahusika Kina Nani ?: Jana, Septemba 07, 2017, majira ya mchana, zilipatikana taarifa kwamba Tundu Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Mbunge wa...
Jana nilifanya matembez katika vijiji kadhaa (w) Newala ila sasa nimekuta kuna vijiji watu wanauza viwanja bei rahisi sasa wasi wasi wangu ni
1>viwanja vile havijapimwa so kama nikinunua serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.