Zaidi ya wakulima 19 waliovamia vyanzo vya maji katika bwawa la Mwanzugi wilayani Igunga wamemchapa bakora Ofisa Kilimo wa Kata ya Igunga, Jamila Issa kwa kuwapiga picha.
Tukio hilo lilitokea...
Mwanafunzi mmoja Wilson Tarimo, aliyenusurika katika ajali ya basi iliyoua wanafunzi 32 wa Shule ya Msingi Lucky Vincent anatarajiwa kuwa miongoni mwa mashahidi 15 wa upande wa Jamhuri katika kesi...
WAKIMBIZI 301 kati ya 12,000 wa Burundi wanaoishi katika kambi ya wakimbizi ya Nduta wilayani Kibondo wameanza kurejeshwa kwao kwa awamu.
Kurejeshwa kwa wakimbizi hao kunatokana na...
Nimesukumwa kuandika hoja isiyojulikana sababu tumeamua kuishi kwenye jamii yenye watu wasiojulikana. Nani anataka kumjua mwenzake? hata humu hatujuani. Kutojulikana kwa watu kunaanzaia kwenye...
Serikali imesema uuzaji wa silaha za jadi holela upo katika maeneo mbalimbali hivyo kusababisha zizagae na kutumika vibaya.
Maeneo yaliyotajwa kushamiri kwa uuzaji wa silaha hizo ni barabarani...
Zaidi ya wakulima 19 waliovamia vyanzo vya maji katika bwawa la Mwanzugi wilayani Igunga wamemchapa bakora Ofisa Kilimo wa Kata ya Igunga, Jamila Issa kwa kuwapiga picha.
Tukio hilo lilitokea...
Wapendwa,
Mimi ni mdau wa hii taasisi yetu ya kukusanya kodi.
Ni wiki mbili sasa ninapofuatilia baadhi ya huduma maofisa wa vitengo husika wananiambia kuwa hakuna network( hamna mtandao)...
1. Tarehe kama ya leo tarehe 11/9/2001 ndio siku ambayo kituo cha biashara cha Marekani WTO majengo pacha yaligongwa na ndege mbili ambazo tukio zima liliratibiwa na kikundi cha Al quaeda chini ya...
Habari Wakuu
Nimekua nikifatilia kuhusu hili jambo kwa karibu wiki sasa na nimeadhimia kujiunga kupitia bank ya Equity kesho,Lakini kiukweli moja ya vitu vilivyonitisha ni kuwa Posta zetu ni wezi...
yaani tokea saa 2 asubuhi nipo kituo cha afya mpaka sasa na ninaambiwa huwenda mpaka saa 9 nimemsindikiza mke wangu clinic kwa ushauri wa mtoa huduma na matangazo ya wizara ya afya. sijafanya...
Naamini mko salama bin bukheri wa afya isipokuwa jemedari wetu alyeko Nairobi matibabuni, Mungu amsaidie.
Nimetamani tukumbushane tu juu ya yale matendo yetu tunayotenda kila siku. Sisi tuliopewa...
Meli kubwa ya kivita inayojulikana kama HMS Queen Elizabeth imeanza majaribio baada ya kujengwa kwa kiasi cha Paundi za Uingereza Bilioni 3 na kuwa meli kubwa ya kivita kuwahi kuwepo nchini...
Tundu Lissu
Mungu kasaidia kapona, kwanini tusimsubiri aje aseme ukweli?
Ramli za nini? Mbona tunabapiabapia mara bashite? Mara sijui naninani? Mara jpm hii haraka inatoka wapi? Mara tiss...
Takwimu zinaonyesha kuwa vijana na watoto nchini ndiyo wanaoongoza kupata maambukizo ya Virusi vya Ukimwi (VVU) duniani.
Takwimu za hivi karibuni za Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulika...
Familia ya marehemu Samson Petro imefunguka na kusema haitofanya matanga wala kuufuata mwili wa marehemu kutokana na kitendo cha ukatili alichokifanya na kusema kuwa ni kitendo kisichoweza...
Nimekaa usiku saa 5 usiku ni kiwaza na kuwazua,wapi nchi yetu inaelekea juu ya Tukio la kushambuliwa kwa Kiongozi,Mbunge,Rais wa TLS,Mwanasheria ,nikafumba macho nikamuombea Dua kwa Mungu...
Kuna tetesi zimezagaa mtaani kuwa wakurugenzi wa kampuni ya uchimbaji madini ya Tanzanite inayoitwa Sky Associates wako mikononi mwa polisi.
Ndugu Faisal shabhati na ndugu Hussein Gonga...
Naelekea Kampaka kesho bandugu. Naombeni ushauri nende na line ipi ya huku Tz ambayo nitaweza kuitumia kuwasikiana na watu wangu wa huku bika makato yoyote?.
Naomba pia kujua je vocha nitaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.