Tcra mmehongwa

Tcra mmehongwa

mperembi

Member
Joined
Sep 8, 2017
Posts
35
Reaction score
18
Wala haihitaji diploma.....wamiliki waving'amuzi wamewahonga....zile channel za bure zimeishia wapi....hawa azam TV wanajiongezea bei za huduma watakavyo...mbarawa kimyaaaa....Mmehongwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa nikuulize swali?? Unaona faida gani kudukua/kuiba avatar yangu aisee...Yaani hii avatar nimeibadilisha kwa kuwa mtu mwingine aliniibia nimeweka na hii na wewe umeeiba unaweka kwako kirahisi tu??

Acha usanii mkuu, Kuna mamilioni ya picha (avatar) huko lakini unaona SAWA kutumia hii ya kwangu ambayo nimeweka na jina langu kabisa...

kiroho safi nakuomba ubadilishe hii avatar kwa maana mimo nitaonekana msanii na hata sifa mbaya huku jukwaani..

Hapa JF kila mtu ana avatar yake inayomtambulisha...nakuambia hivi kwa kuwa wewe ni mgeni na hata kama ni mwenyeji umefungua ID mpya hilo jambo unalofanya ni UZINGUAJI MKUU..

ACHA WIZI WA KUIBA AVATAR ZA WATU NA KUJIFANYA KUIGIZA KUONEKANA NI MIMI

Sent from my iDevice using Tapatalk

Sent from my iDevice using Tapatalk

Pole mkuu
 
Nenda MAHAKAMANI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acheni kupenda vya bure. Ila dstv tbc na chanel 10 ipo bure

[emoji124]‍♂️naenda zimbobo.
 
Wala haihitaji diploma.....wamiliki waving'amuzi wamewahonga....zile channel za bure zimeishia wapi....hawa azam TV wanajiongezea bei za huduma watakavyo...mbarawa kimyaaaa....Mmehongwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wanasubiri mpaka Magufuli akohoe ndio utawaona mishipa ya shingo inawatoka, tusubiri muda ni suluhisho tosha.
 
TCRA mpaka atumbuliwe mmoja ndio akili zao zitakaa sawa,,,
 
Back
Top Bottom