Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kabla haujaanza wiki yako Fanya kitu kinaitwa "Week Mapping":Hii inajumlisha kufanya mambo yafuatayo: 1) Kuamua ni mambo gani makubwa ambayo unakusudia Kuyatimiza kwa wiki hii na...
7 Reactions
21 Replies
2K Views
katika vitabu vya dini imewekwa bayana ni wajibu wa wanachi wote kuheshimu mamlaka zilizowekwa kwani viongozi hao chombo cha Mungu kwetu wanadamu, ROMANS13: Kila mtu hana budi kutii serikali...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Miaka kama kumi iliyopita sio wote walikuwa na simu za mikononi, hivyo wanaume wenye simu walihakikisha simu zao zipo sehemu za wazi( kiunoni au mkononi) kwani ilisemakana(hasa uswahilini) ni...
0 Reactions
612 Replies
82K Views
Serikali ya Mkoa wa Tabora imetoa mwezi mmoja kwa wamiliki wa Kiwanda cha Pamba cha Manonga kuhakikisha wamekikarabati ili kiweze kuanza tena uzalishaji wa mafuta ya pamba na uchambuzi wa Pamba...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimetoka kutoa pesa sasa hivi crdb ila Salio langu limepungua Sana. Kutoka milioni 4 hadi laki moja na kitu.,,, Nimejaribu kupiga namba zao hawapatikani na ofisi zilishafungwa., Je hili ni tatzo...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Ukweli lazima usemwe, Uhai wa mwanadamu hauna madaraja. Hakuna umashuhuri wala u-VIP linapokuja swala la uhai kwa kila mtu. Nilazima sasa kila mtu ajue kuwa kila roho ya mtu inathamani iliyo...
5 Reactions
10 Replies
2K Views
Wana jf Leo nimewaza kitu why kila kona kuna mabango ya mawakala wa Freemasons na namba zao za simu `„je nikweli kuna watu wamefanikiwa kupitia haya mabango kujiunga na Freemason?? Na je kama sio...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Binadamu huishi katika mazingira, mazingira haya huhusisha vitu na watu. Katika kuishi, mazingira haya yana athiri maisha ya binadamu. Athari hizi zinaweza kuwa chanya au hasi. Watu unao ishi nao...
1 Reactions
2 Replies
893 Views
Habari... Nimeona viongozi wengi mashuhuri duniani na ndani ya nchi yetu ni wapenzu wakubwa wa twitter.. Swali langu.. 1.kuna uhusiano gani kati ya twitter na viongozi wakubwa na macelebreties...
2 Reactions
50 Replies
5K Views
Kiukweli amenichanganya sana baada ya kusema kwamba 99.9% ya Watoto wanaozaliwa wakiwa na uzito mdogo na wenye kupata / kuugua Ugonjwa wa ' Utapiamlo ' huwa na uwezo mdogo sana wa Kufikiri /...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Kwa mnaojua je Cruiser ni ngumu kupenya risasi kuliko tuseme angekuwa kwenye Brevis au RAV 4?
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Jeshi la polisi mkoa Kusini Pemba linamshikilia mwanamke moja kwa tuhuma za kukamatwa akiwa na furushi linalotiliwa mashaka kuwa ni madawa ya kulevya lenye kete 3621 unao kisiwa kuwana thamani...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakati tasnia ya habari ikiwa na jukumu la kuhabarisha wananchi juu ya mambo mbalimbali ya Kitaifa, kijamii nk, taasisi mbalimbali zikiwemo za wanahabari zimekuwa na makusudi mbalimbali ili...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Poleni sana na mihangaiko ya kusaka ajira, yangu ni machache tu ni kusisitiza Kwa wahusika wawe wawazi hasa linapokuja swala na usahili na uajiri. Hii nikimaanisha kwamba kazi nyingi hutangazwa...
1 Reactions
1 Replies
939 Views
Where do you see yourself on the next few years? What have you done to be there? Opportunities are everywhere but have you ever find a chance to take one one? Have you ever listen to yourself...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
HII NIMELETEWA NA MIMI NIMEITUMA KAMA ILIVYO 'RAFIKI YANGU MMOJA AFISA UBALOZI FULANI HIVI, ANAYEFANYA KAZI HAPA KWENYE UBALOZI WA NCHI YAO, AMENITUMIA CHAT HII. MBALI NA LUGHA YA KEJELI...
8 Reactions
33 Replies
3K Views
Kwa Imani mlinzi mkuu ni Mungu mwenyewe ktk hii Dunia. Ulinzi mwingine ni misaada tu kwa pale Mungu alikoweka ulinzi wake. Kwa risasi 32 then unapata majeraha tena bila kugusa viungo...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Many of us we please people and we feel sorry for them, we are afraid of saying no, and we expect either could end up the relationship or loose a job. But no is a word like other words, you have...
0 Reactions
4 Replies
879 Views
STATEMENT OF THE MALAWI LAW SOCIETY ON THE ATTEMPTED ASSASSINATION OF HONORABLE TUNDU LISSU, THE PRESIDENT OF THE TANGANYIKA LAW SOCIETY 1. The Malawi Law Society (MLS) has learnt with great...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Madalali matapeli wa kupatana hawatanisahau. Walitangaza nyumba kupitia kupatana, nikawatafta kesho yake wakanipeleka kwenye nyumba, wakaifungua nikaikagua kisha wakatengeneza mwenye nyumba feki...
2 Reactions
23 Replies
8K Views
Back
Top Bottom