NAOMBA KUJUA KUHUSU UNUNUA WA VIWANJA AMBAVYO HAVIJAPIMWA

sawe4u

JF-Expert Member
Sep 11, 2016
973
571
Jana nilifanya matembez katika vijiji kadhaa (w) Newala ila sasa nimekuta kuna vijiji watu wanauza viwanja bei rahisi sasa wasi wasi wangu ni
1>viwanja vile havijapimwa so kama nikinunua serikali wakija pima waninyang'anya au.....
2:-Kuna taratibu gan kama nikinunua nifanye ili viwe salama kbsa

Niambieni maana nashida na viwanja maeneo hayo kwa ajili ya uwekezaje wangu ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom