Naweza kuanzisha kampuni ya kuua na nikapewa leseni hapa TZ? (licence to kill) au LTK | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naweza kuanzisha kampuni ya kuua na nikapewa leseni hapa TZ? (licence to kill) au LTK

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Yericko Nyerere, Jun 29, 2011.

 1. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #1
  Jun 29, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 15,641
  Likes Received: 2,554
  Trophy Points: 280
  Katika makuzi na masimulizi mengi niliyopata, nimekuwa muumini mkubwa wakupenda kujua na nilifanikiwa kujua kuwa mtu fulani kafa! Lakini vifo vingi na vyenye utata huelezwa kuwa mtu huyo kauawa! Baada ya kufanya utafiti binafsi ikiwa ni pamoja na kusoma maandiko, nimegundua kuwa kila nchi dunia ina kitengo cha mauaji (assassination)ambacho hutumiwa kwa manufaa ya taifa au kikundi husika, na vitengo hivi ni vya siri kubwa vya kuongozwa toka kwa rais hasa ktk maamuzi magumu! Mifano ni mingi yenye kubainisha uwepo wa vitengo hivi katika serikali zetu, kifo cha Laurent Kabila, kifo cha Nixon, kifo cha Abeid Aman Karume,kifo cha Kolimba,kifo cha Rafik Harir, kifo cha Benazr Butto, kifo cha Samora Machela,kifo cha Daudi Balali nk. Lakini baadhi ya nchi hukodi wataalamu hawa pindi wakihita kuondoa roho ya wasie mtaka, hapa ndipo kwenye langu! Je sheria za tz zinasemaje juu ya leseni ya kuondolea roho za watu kwa manufaa ya taifa?
   
 2. Avatar

  Avatar JF Gold Member

  #2
  Jun 29, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 676
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Are you serious!?
   
 3. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #3
  Jun 29, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 15,641
  Likes Received: 2,554
  Trophy Points: 280
  Ndugu nipo kamili na mungu akisaidia nikapata kujua kama leseni zinaruhusiwa kutolewa hapa tz! Hiyo kampuni itakuwa na wataalamu makini wa shabaha!
   
 4. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #4
  Jun 29, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,799
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  LESENI ILISHATOLEWA NA MUHESHIMIWA "RASI" WENU KWA ASKARI WOTE WA TZD, kachukue koz chapchap ukipewa magwanda na smg una kibali cha kuua
   
 5. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #5
  Jun 29, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 15,641
  Likes Received: 2,554
  Trophy Points: 280
  Ahaaa!duh dada Angel mimi nataka kufanya biashara! Hawa polisi wetu damu za wanyonge zitaendelea kuwalilia!
   
 6. G

  GunzInTheAir JF-Expert Member

  #6
  Jun 30, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 301
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hii kazi ni nzito sana, lakini kuna homework ndogo kama utaweza kuifanya basi utapiga hatua ili kuanza kuwa muuaji. upo tayri nikujutajie hiyo homework ?
   
 7. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #7
  Jun 30, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 15,641
  Likes Received: 2,554
  Trophy Points: 280
  Mkuu nipe hiyo homework!
   
Loading...