Ukielewa upo sawa usipoelewa upo sawa pia

Ukielewa upo sawa usipoelewa upo sawa pia

Mnyongeni Mnyonge

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2015
Posts
628
Reaction score
731
b7203c7231654aeb33c178257414b223.jpg


[emoji22]Mnyongeni mnyonge[emoji22]
 
Nipo sawa japo sijaelewa
Nilichoelewa ni Kua Damu ni kweli inahitajika Mahospitalini, ila sio halali kwakua;
1) Wanaochanga watakua katika makundi (Mkusanyiko) usio ruhusiwa ,

2) Wanaochanga wanafanya hivyo baada ya tukio la Lissu
 
Niko sawa kwani nimeelewa na nimemuelewa vizuri tu kamanda Muroto kwakua yuko sawa,,
 
Why now,hawakuwa na muda wa kuchangia mpaka tukio.
Kwahiyo kuna ratiba ya uchangiaji?? na je hata kama uchangiaji huo sababu ni LISU kosa liko wapi? wote tunafiri bali tatizo letu ni namna tunavyofikiri
 
Why now,hawakuwa na muda wa kuchangia mpaka tukio.
Unajuaje kama hawakuchangia? Labda walienda indibidualy ila kwa sasa wameona waende kama kundi kuna ubaya gani? Unajua kwa jinsi mnavyocheza mchaka mchaka na chadema ndo wananchi tunazidi kuichukia ccm mda mwingine wanaweza wakawa right ila kutokana na hizi chuki zao sie tunazidi kuwadelete.
 
Back
Top Bottom