Dar-Kigoma nauli sh ngapi kwa sasa?

Dar-Kigoma nauli sh ngapi kwa sasa?

kyalankota

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2014
Posts
2,594
Reaction score
1,463
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mchanganuo ukoje kwa Basi na kwa treni nauli inagharimu kiasi gani?
Kwa basi tu inachukua muda gani na treni muda gani?
Asanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nauli kwa basi ni 60000/= kupitia Dar_Tabora_Kigoma gari zilizopo ni Saratoga,Adventure na Ota high class,Kutoka dar mnaweza kutumia siku moja ila mtafika kati ya saa sita au saa saba usiku au mnaweza kulala njiani kisha kigoma mkafika saa tatu au saa nne asubuhi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dar Kwenda Kigoma Nauli Ni 60000/-
Basi Ni Adventure Connection
Saratoga, Ni Safari Ya Siku Mbili Ndiyo Mnafika Japo Inakuwa Asubuhi Siku Ya Pili
Yapo Mabasi Mengine
 
nauli kwa basi ni 60000/= kupitia Dar_Tabora_Kigoma gari zilizopo ni Saratoga,Adventure na Ota high class,Kutoka dar mnaweza kutumia siku moja ila mtafika kati ya saa sita au saa saba usiku au mnaweza kulala njiani kisha kigoma mkafika saa tatu au saa nne asubuhi

Sent using Jamii Forums mobile app
Mabasi yote yanalala kaliua, kesho asubuhi wanaamkia kg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nauli kwa basi ni 60000/= kupitia Dar_Tabora_Kigoma gari zilizopo ni Saratoga,Adventure na Ota high class,Kutoka dar mnaweza kutumia siku moja ila mtafika kati ya saa sita au saa saba usiku au mnaweza kulala njiani kisha kigoma mkafika saa tatu au saa nne asubuhi

Sent using Jamii Forums mobile app
Basi gani lina ubora zaidi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mchanganuo ukoje kwa Basi na kwa treni nauli inagharimu kiasi gani?
Kwa basi tu inachukua muda gani na treni muda gani?
Asanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app

Huna sana haja ya kuwaza kuhusu nauli ya kutoka Dar hadi Kigoma Mkuu bali kama hapo ulipo kuna Waha ( wana Kigoma ) wengi mtafute tu mmoja wapo nenda nae pembeni muelezee tu hiyo nia yako ya kusafiri kwenda huko Kwao na atakusafirisha fasta tu kwa Ndumba / Ushirikina na hadi Kukurudisha Dar salama kwa gharama iliyo sawa na bure kabisa.
 
Khaa. ..!!! Una maana wana kigoma ni wachawi!!!!! Mondray na mkubhi njoeni hapa
 
Back
Top Bottom