UN Human Employment Report EA-Kenya face high Unemployment rate

Tony antony

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
4,988
3,268
Kutokana na report iliyotolewa na UN Human Development Report East Africa ,
Kenya yaongoza kwa kuwa na asilimia kubwa ya wananchi wake kutokua na ajira.

Huku Rwanda na Burundi zikiwa na asilimia za chini zaidi kwa Afrika mashariki,kwakuwa na 3.1% kwa Burundi na 3.3% kwa Rwanda,ikilinganishwa na Uganda yenye 4%. Tanzania nchi inayoongoza kuwa na wananchi wengi zaidi wapatao mil.50 kwa Afrika Mashariki inakabiliwa na tatizo la ajira kwa wananchi wake wapatao asilimia 5.2%.
Huku Kenya nchi inayoifuatia Tanzania kwa idadi kubwa ya wananchi Afrika Mashariki ikionekana kukubwa na janga kubwa la ajira inakisiwa kuwa ni asilimia 22.2%. Hii ni asilimia kubwa zaidi mara nne zaidi ya kiwango cha nchi ya Tanzania.

mytake.
hivi hizi report ni za kweli jamani,maana kila siku tunaambiwa afadhali ya Kenya kuliko sisi watanzania. Hivi ni kweli Tanzania kuna uhauheni wa ajira kuliko Kenya??
Nawasilisha.
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    34.8 KB · Views: 14
Back
Top Bottom