Vijana wenzangu!

Vijana wenzangu!

No Escape

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2016
Posts
6,662
Reaction score
7,834
Tushabikie siasa lakini tusisahau uzee ulikuja kama utoto ulivyoondoka! Hakuna mtu atakaepigania maisha yako wakati we mwenyewe upo hai......
 
Kwani ukifatilia siasa haufanyi Kazi zako??
 
Kwani ukifatilia siasa haufanyi Kazi zako??
Inawezekana unafanya kazi ila tazama kwa mtazamo mwingine wa kijamii, kumezuka siasa za chuki na za kijinga siku hizi, watu wanaongea maneno bila akiba sasa baada ya miaka kadhaa na kuwa wazee je tutaweza kutazamana usoni tena?
 
In our age there is no such thing as 'keeping out of politics.' All issues are political issues, and politics itself is a mass of lies, evasions, folly, hatred and schizophrenia.
George Orwell
 
Wanasema Siasa ni mchezo mchafu hawa wazee waliotutangulia.

Pia wanasema tufatilie siasa kwa ujanja maana unaweza kupotea ukiingia kichwa kichwa.
 
Inawezekana unafanya kazi ila tazama kwa mtazamo mwingine wa kijamii, kumezuka siasa za chuki na za kijinga siku hizi, watu wanaongea maneno bila akiba sasa baada ya miaka kadhaa na kuwa wazee je tutaweza kutazamana usoni tena?
Yatawezekana tu ndugu,hakuna marefu yasiyo na ncha. Tukishindwa basi vijaji vijavyo vitarekebisha
 
Kwani ukifatilia siasa haufanyi Kazi zako??
Kuna watu tangu vyama vingi viingie nchini washabiki wakubwa wa siasa lakini wanasikitisha sana kipindi cha uchaguzi kikipita! Huo muda wangeutumia kwa maisha yao....
 
Kuna watu tangu vyama vingi viingie nchini washabiki wakubwa wa siasa lakini wanasikitisha sana kipindi cha uchaguzi kikipita! Huo muda wangeutumia kwa maisha yao....
Hawana akili nzuri hao
 
Back
Top Bottom