mbere
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 6,969
- 6,460
Ee sasa nisemeje, wenzetu wako mbaali kweli kweli kama ni mafuta tulikuwa nayo, madini, aridhi n.k kwanini hakuyachimba sasa hayo madini.
Leo tungekuwa kama USA au Dubai.
Nyerere tunamsifia bure tu, hakujituma kama wenzie.
Leo tunakopa kama nchi $500 milioni tena kwa siri
Leo tuna tunatembelea daladala jijini
Leo tunawaza kutovuna , tunategemea mvua za mungu wakati dubai pakavuuuu, mafuta tu yanawatoa.
Kwani nyerere alishindwa nini kuita wachimbaji akawasimamia.
Ahhh Nyerere mimi hapana jamani