Je sababu zinazotolewa zinaweza kuhalalisha kutaka "kuterminate" maisha ya Tundu Lissu?

Mystery

JF-Expert Member
Mar 8, 2012
15,480
30,152
Kuna clip inayotembezwa mtandaoni ambayo "Bwana" yule anasikika akisema kuwa mtu yoyote atakayetaka kumkwamisha kwenye hatua yake ya kufikia malengo aliyojiwekea ya kulikwamua Taifa hili kwenye Lindi la umasikini anastahili kuwa "eliminated" kwa kuwa mtu huyo atakuwa anawapiga tafu "wezi" hao wa madini yetu!

Baada ya kuisikia ile clip nimepata picha ya nani aliyehusika na mpango ule muovu kabisa wa kuondoa maisha ya shujaa wetu mzalendo no moja nchini Tundu Lissu.

Dalili za wazi kabisa ya kuwa "wao" ndiyo wamehusika na mpango huo ni kama zifuatazo:-

1. Leo ni siku ya 10 hakuna dalili yoyote ya kukamatwa kwa muuaji/wauaji hao
2.Alipopigiwa risasi Tundu Lissu ni mahala pa usalama wa hali ya juu, inakuwaje mtu aingie kwenye geti lile na afyatue risasi 32 na kuondoka akiwa salama??
3.Kunapotokea tukio la aina ile, kitu cha kwanza ni kutrack mawasiliamo ya simu ya "watuhumiwa" wetu, je zoezi hilo lilifanyika??

Ukipata majibu ya maswali hayo unaweza kupata jibu la swali langu ni nani muuaji/ wauaji wa Tundu Lissu ambao ni "wao"

Tukija kwenye lile suala nililoanza nalo ya kuwa yupo mtu ambaye anajusttify "kuuawa" kwa mtu huyo kwa kisingizio ya kuwa siyo mzalendo wa Taifa lake kwa kuwa simu zake zimegundulika kuwa amekuwa akiwasiliana na "wabaya" wetu ambao ni wezi na mafisadi wa rasilimali zetu!

Sasa nimuulize huyo mtu anayetoa hukumu hiyo kuwa huyo Tundu Lissu atapata wapi wasaa wa kujibu tuhuma hizo iwapo umekataza mikutano yao ya kisiasa hadi mwaka 2020??

Kwa mazingira hayo unapata wapi mandate ya kumhukumu mtu kwa kile kitu kinachoitwa hujampa haki ya msingi wa RIGHT TO BE HEARD??

Wewe mwenyewe unayesema kuwa nchi yetu inaibiwa, chama chako ndicho kiimetawala kipindi chote hicho tokea nchi yetu ipate Uhuru wake toka kwa mkoloni na wewe imekuwa ni miongoni ya watu waliotoa BLESSING zao kwa maamuzi yote hayo!

Sasa inawezekanaje kumbebesha mzigo "outsider" kwa jambo ambalo ni dhahiri mmelifsnya "nyinyi" watu??

Mungu ibariki Tanzania
 
Yule shehee aliyetaka kusoma albadiri akatishwa sijui hakuna mwingne asome ya kimya kimya tuwajue wahusika

Mungu si wa yohana tu ni wa wote watajulikana tu
 
It's true

Mungu ni wa Yohana na pia ni wa Daudi na pia ni wa kila mmoja wetu........
 
Msanii Roma Mkatoliki katika wimbo wake mpya wa Zimbambee ameimba "wekeni silaha zenu chini tujibizane kwa hoja" mwisho wa kunukuu mashairi ya Roma.

Hivi wanasiasa wetu wa CCM mlimuelewa kweli msanii Roma??
 
Kuna clip inayotembezwa mtandaoni ambayo "Bwana" yule anasikika akisema kuwa mtu yoyote atakayetaka kumkwamisha kwenye hatua yake ya kufikia malengo aliyojiwekea ya kulikwamua Taifa hili kwenye Lindi la umasikini anastahili kuwa "eliminated" kwa kuwa mtu huyo atakuwa anawapiga tafu "wezi" hao wa madini yetu!

Baada ya kuisikia ile clip nimepata picha ya nani aliyehusika na mpango ule muovu kabisa wa kuondoa maisha ya shujaa wetu mzalendo no moja nchini Tundu Lissu.

Dalili za wazi kabisa ya kuwa "wao" ndiyo wamehusika na mpango huo ni kama zifuatazo:-

1. Leo ni siku ya 10 hakuna dalili yoyote ya kukamatwa kwa muuaji/wauaji hao
2.Alipopigiwa risasi Tundu Lissu ni mahala pa usalama wa hali ya juu, inakuwaje mtu aingie kwenye geti lile na afyatue risasi 32 na kuondoka akiwa salama??
3.Kunapotokea tukio la aina ile, kitu cha kwanza ni kutrack mawasiliamo ya simu ya "watuhumiwa" wetu, je zoezi hilo lilifanyika??

Ukipata majibu ya maswali hayo unaweza kupata jibu la swali langu ni nani muuaji/ wauaji wa Tundu Lissu ambao ni "wao"

Tukija kwenye lile suala nililoanza nalo ya kuwa yupo mtu ambaye anajusttify "kuuawa" kwa mtu huyo kwa kisingizio ya kuwa siyo mzalendo wa Taifa lake kwa kuwa simu zake zimegundulika kuwa amekuwa akiwasiliana na "wabaya" wetu ambao ni wezi na mafisadi wa rasilimali zetu!

Sasa nimuulize huyo mtu anayetoa hukumu hiyo kuwa huyo Tundu Lissu atapata wapi wasaa wa kujibu tuhuma hizo iwapo umekataza mikutano yao ya kisiasa hadi mwaka 2020??

Kwa mazingira hayo unapata wapi mandate ya kumhukumu mtu kwa kile kitu kinachoitwa hujampa haki ya msingi wa RIGHT TO BE HEARD??

Wewe mwenyewe unayesema kuwa nchi yetu inaibiwa, chama chako ndicho kiimetawala kipindi chote hicho tokea nchi yetu ipate Uhuru wake toka kwa mkoloni na wewe imekuwa ni miongoni ya watu waliotoa BLESSING zao kwa maamuzi yote hayo!

Sasa inawezekanaje kumbebesha mzigo "outsider" kwa jambo ambalo ni dhahiri mmelifsnya "nyinyi" watu??

Mungu ibariki Tanzania

UMEMSIKIA MSEMAJI WA POLISI ALIVYOTOA TAHADHARI JUU YA MATUMIZI YA MITANDAO KUTOA MAONI AU DUKUDUKU? NI VYEMA KUWA MAKINI!!!
 
Usinipie mkwara......

Hoja inajibiwa kwa hoja.......

Ukiona mtu najibu hoja kwa kwa bunhduki ujue ameishiwa na hoja!
 
Back
Top Bottom