Huduma kwa Wateja Azam TV haipatikani

Huduma kwa Wateja Azam TV haipatikani

Andre02150

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2010
Posts
332
Reaction score
129
Wadau;
Yapata wiki ya pili sasa sipati Azam customer service kwenye namba zao pendwa.
Naomba mwenye namba inayopatikana anisaidie kwani nakwazika sana shauri signal zao zinapotea mara kwa mara. Simu yao ya Airtel na Voda zote hazipatikani.
Natanguliza shukrani.
 
Tatizo ni fundi wako aliye kufungia dish wala sio Azam, tatizo mafundi wengi wa mitaani hawana vifaa vao wanatumia ule utaratibu wa kuuliza " haapooo!! Hapoo je!! Imesoma asilimia ngapi hapoo! Video inaomesha nini kwenye tivii !! Hahahahahaaaa !!Sasa huo mfumo ushapitwa mkuu ndio maana utasumbuka kila siku na utawalaum sana azam maana mafund hawa wakisha ona inaonesha tu utasikia hapo hapooooo! Funga usitikisee!! Wakati signal zipo chini tena chini ya kiwango stahili ndio maana upepo ukivuma tu kidogo au ndege akitua tu kwenye dish channel zooote zinapotea hahahaaaa.
 
Ni kweli hawapatikani kwenye namba zao zote ukipiga zinafeli ila nahisi kuna kitu wamekikwepa ndo maana hawako hewani
 
Jamaa nadhan wanakimbia wateja. Mimi ni week tatu simu zao hazi connect kabisa. Zote mbili. Kuna jambo linawafanya watukimbie wateja
 
Tatizo ni fundi wako aliye kufungia dish wala sio Azam, tatizo mafundi wengi wa mitaani hawana vifaa vao wanatumia ule utaratibu wa kuuliza " haapooo!! Hapoo je!! Imesoma asilimia ngapi hapoo! Video inaomesha nini kwenye tivii !! Hahahahahaaaa !!Sasa huo mfumo ushapitwa mkuu ndio maana utasumbuka kila siku na utawalaum sana azam maana mafund hawa wakisha ona inaonesha tu utasikia hapo hapooooo! Funga usitikisee!! Wakati signal zipo chini tena chini ya kiwango stahili ndio maana upepo ukivuma tu kidogo au ndege akitua tu kwenye dish channel zooote zinapotea hahahaaaa.

Issue kuu ni kupatikana kwa namba ya huduma kwa wateja. Kwa nini hawapatikani??
 
Back
Top Bottom