Swali fikirishi: Hivi ziwa ni chanzo au hifadhi ya maji?

Zero Hours

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
12,944
18,653
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Naomba tufikiri kwa kina, je ziwa ni chanzo cha maji au hifadhi ya maji?

images (1).jpg

Ziwa Victoria

a5ef4d3c91fe6337657ff96fc6796dde.jpg
Ziwa Nyasa(Malawi)

09b6c0228bae591242d0a203e9ae0e8f.jpg

Ziwa Tanganyika.
Nia na madhumuni ni kujua je," ile sheria ya mita 60 na vyanzo vya maji inahusu hata Maziwa?"
 
Mara chache inakuwa chanzo,mfano mto Nile huanzia ziwa Victoria.
Hii ni special case kwa victoria na nile pekee. Kumbuka kuna mito mingi pia inamwaga maji ziwa victoria. Ila ni mmoja tu unaotoa.
 
Perhaps kwenye Mito inayomwaga maji pale
View attachment 589089
no one had truly found the source and that some explorers have claimed to have found it but that this was not the case. They succeeded in finding a spring somewhere to the South East of Lake Victoria that feeds it and ultimately into the Nile. Could someone clarify specifically what they mean by the source, why it hasn't been found yet and just general information about the geological side of these episodes?

Mpaka leo hakijajulikana chanzo sahii cha mto nile. So inawezekana ikawa ni mto uliokatiza ziwa victoria.
 
Hivi kusingekuwepo Maji ya kutoka mito mbali mbali yanayolisha Ziwa Victoria, libaki tu lenyewe je lisingekua limekauka kwa sasa sababu ya lenyewe kusafiri kwenda mpaka Misri thru Mto Nile??
 
Back
Top Bottom