Habari wadau..
Najua soko la ajira linasumbua sana..
Nikajikaza na kupambana sana baada ya shule na kufanikiwa kufungua biashara ndogo ndogo. Ninamiliki workshop ya kuprint tshirts, studio ya...
Jambo JF,
Nimepokea kwa masikitiko makubwa kifo cha Bw. Muganyizi Mutta ambaye mpaka umauti unamkuta alikuwa anafanya kazi Aggrey & Clifford kampuni inayojihusisha na kuandaa matangazo na...
Hello jf!
Kuna mtu mmoja anaitwa Jack. He used to live with guilt by himself, kila kitu anachojaribu kufanya rafiki zake wanamwambia huwezi kufika hapo.
Alikuwa anapenda kusikiliza vile watu...
Mara baada ya uzinduzi wa bomba la mafuta Tanga, kumeibuka tangazo la nafasi za ajira, tangazo hilo lina ahidi kulipa 18000 kwa Siku kwa kila kichwa. Tangazo hilo limetolewa na watu wanaojiita...
Zuhura(Venus) na Mwezi Hilali pamoja kesho Jumatatu Alfajiri kuanzia saa 11.30AM 18.Sept.17
Sayari ya Zuhura na hilali ya Mwezi zitatoa mandhari ya kuvutia zitapoonekana alfajiri kesho. Duara ya...
Ukifanya kibaya kwake ujue na yeye anawaza kufanya uyafanyayo, Kwa binadamu asiyeijua Kesho yake hawezi kujihakikishia usalama wake, Kila adui na mbinu zake.
Tujenge ushirikiano, tuachane na...
Taarifa zilizonifikia hivi punde tu zinasema kwamba mahabusu tisa waliokamatwa kwa makosa mbalimbali ya uhalifu na kuwekwa rumande katika kituo cha Polisi cha Kawe kilichopo Wilaya ya Kinondoni...
Ilikuwa ni kama maskhara lakini sasa mambo yanajifunua kwa namna ya ajabu kabisa.... Inasikitisha mno kuona serikali inachezeshwa segere na watu wa kawaida kabisa! Jamani huko mamlakani hakuna...
Nashukuru sana ITV.ambapo wameonyesha ibada ya kumuombea Mh.lisu ni TV pekee nchini Tanzania ambayo inapata uthubutu kiasi wakuonyesha maendeleo ya Mpendwa wetu Maana lazima shetani apate aibu...
Nimepata taarifa kuwa Polisi wamenitafuta toka asubuhi maeneo ya Sinza! Waki Sisitiza kuwa Nipo hotelini hapo, wakati mimi niko Nairobi, nitaitikia wito wa polisi ukiletwa rasmi, sihitaji...
Nawasaalimu wote kwa ujumla!
Bila kupoteza mda naomba kufahamu kama kuna tawi la office za NACTE mjini morogoro, mwenye kufahamu mahali office zilipo anijulishe.
Mungu awabariki ninyi nyote!
Jiko la mama lishe lililokuwa jirani na transfoma limesababisha moto uliounguza maduka sita yaliyokuwa kwenye nyumba moja eneo la Dongobesh wilayani Mbulu.
Mkuu wa Wilaya hiyo, Chelestino Mofuga...
MOJA ya habari zilizochapishwa katika gazeti hili leo ni pamoja na ile ya kazi nzuri ya matibabu ya ugonjwa wa moyo inayofanywa na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) kwa Watanzania, raia wa...
1.HUNA MALENGO YOYOTE YA MAANA.
Yani upo sababu umezaliwa tu sio sababu nyingine.
Ukiona kwamba unaamka asubuhi huna plan ya kufanya kitu chochote cha kusongesha maisha yako mbele kutoka hapo...
Wadau habari ya jumapili,
Samahani naomba kuuliza nimepewa na jamaa decoder ya imeandikwa humax ndani hamna kadi na dish sijapewa. Je, hivi hawa humax office zao ziko wapi na gharama ya dish...
Kuna mzee mmoja wa makamo ameniambia maneno yafuatayo
"Nyie vijana wa sasa mngezaliwa enzi za kutafuta uhuru naamini mpaka sasa tungekuwa tunatawaliwana. Msingethubutu kupigania uhuru mmebaki...
Habari wakuu,
Nimejikuta imenibidi kukatisha mfululizo wa makala inayohusu kifo cha Rais JF Kennedy ili kutafakari na kutafuta msaada wa kisheria kutokana na gazeti la RAI kunakili makala hiyo na...
My powerful love spells will help you get a lost lover back or win your ex back in just 2- 3 days
Bring back lost love spells will bind you together for eternity.
If you are really in love with...
Natumia King'amuzi cha Azam, kifurushi kimeisha lakini TBC inasoma kama kawaida, nilizani kuangalia taarifa ya habari TBC ni kitu rahisi, kumbe ni bora uangalie mdumange utaongeza siku za kuishi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.