Wakati Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha), Halima Mdee akitarajiwa kuongoza mazishi ya aliyekuwa diwani wa viti maalumu Mbeya Mjini, Ester Mpwiniza leo, Mbunge wa Mbeya Mjini...
Wakuu
Wazo langu naomba wabunge wapeleke muswada bungeni ili raisi akimaliza muda wake akikaa kuanzia miaka mitano aruhusiwe kugombea vipindi vinavyofuata ili tumuombe Raisi Kikwete agombee ili...
Ni jambo la nadra kwa wananchi kuwagomea viongozi wa juu wa Serikali, hususan wanapokutana nao ana kwa ana, lakini Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo amegomewa na kulazimika kuunda kamati...
Hii habari tokea gazeti la Mwananchi ina akisi kiuhalisia Hali ya Jeshi la Polisi Tanzania. Polisi wananyanyasa mno wananchi na wamejiwekea na kuhalalisha mazingira hayo.
Angalia kilio cha...
Ama kweli hakuna jiwe litalosalia juu ya jiwe..ile..motel kongwe kabisa ya Kimara suka..ambayo ilifanya had kituo cha daladala kuitwa suka..hatimae imekula nyundo katika bomoa bomoa.
Asalam aleykhum.
Salaam,
Bila kupoteza wakati,kama kichwa kinavyosema hapo juu,wanajamvj tukienda personally kabisa,ni tukio gani huwa ukifanya hutaki kubugudhiwa na SIMU za hapa na pale?
Mimi huwa nikisali.[emoji3]
Habari wakuu.
Kati ya hivi vitu ni kipi ukikipoteza utaumia sana moyoni mwako
1. PESA
2. AMANI
3. MPENZI
4. WAZAZI
5. WATOTO
6. AKILI
7. KAZI
8. MARAFIKI
9. MALI
Jaribu kutoa na sababu ya jibu...
Kimsingi ngazi zote za halmashauri ya jiji la Mwanza wamekuwa wakivunja sheria na kanuni za utumishi wa umma ikiwemo kuondoa UTU wa watumishi.
Mimi Deogratius Nalimi Kisandu wamenivunjiaheshima...
Napenda sana utendaji Wa mkuu Wa mkoa Wa Dar es salaam mh. Paul Makonda. Mbali na hapo, nimeona akikagua ukarabati Wa magari yaliyokuwa mabovu yakikarabatiwa mkoani Moshi, nilifurahishwa na jambo...
Mwanamuziki nguli tanzania na mpiga ala ya kupuliza saxaphone, Mzee Bakari Selemani Majengo amefariki alipolazwa Muhimbili hospitali kwa maradhi ya moyo na pumu Jumamosi 16/09/2017.
Msiba uko...
Twende moja kwa moja kwenye mada , elimu mbalimbali nzuri na mbaya zinapatikana mitandaoni . ningependa tubadilishane uzoefu hasa kwenye elimu chanya ambazo tunaweza kuzipata huku mitandaoni kama...
Iwe uliyotumia wewe mwenyewe, au ulimwona mtu anaitumia, ya kusoma sehemu, ya kusikia, ya ku-google, yoyote ile, ili mradi iwe inatekelezeka kirahisi.
Mimi naanza na hii:
"Mbinu ya kukaza misuli...
Yaani najaribu kuwaza, hata sielewi serikali hii ni aina gani...
Ni Mara ngapi tumeona mikusanyiko nje ya msikiti au kanisa wakimuombea Bwana yule, nae akisisitiza tumuombee...
Inakuaje leo hii...
Siku moja baada ya tukio la kuungua kwa nyumba ya mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe iliyopo katika eneo la Kibingo kata ya Mwandiga mkoani humo, Jeshi la Polisi limetoa ufafanuzi kuhusiana na...
Wazee wa mila na Machifu mkoani Mbeya wamezuia maandamano ambayo yalipangwa kufanywa na wananchi kutoka zaidi ya vijiji 10 vinavyozunguka hifadhi ya misitu ya Mwambalizi wilayani Mbeya...
Hakuna ukomo( mwisho) wa kutokufanikiwa na hakuna ukomo(mwisho) wa kufanikiwa, usijiwekee kikwazo au kikomo cha kufanikiwa kwako bali weka malengo katika umri wako.
Umri haumtafsiri mtu mwisho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.