TBC na taarifa yao ya habari

TBC na taarifa yao ya habari

TzComedy

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2017
Posts
890
Reaction score
700
Natumia King'amuzi cha Azam, kifurushi kimeisha lakini TBC inasoma kama kawaida, nilizani kuangalia taarifa ya habari TBC ni kitu rahisi, kumbe ni bora uangalie mdumange utaongeza siku za kuishi kuliko hii Channel,

Hapa najiuliza, hivi hii TBC inaendeshwa na kodi za walipa kodi au inaendeshwa na fedha zitokanazo na miradi ya Chama Cha Mapinduzi??!!.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ha ha ha ha ha...@Maserati hivi na wewe unaangaliaga habari ya TBC?
 
lipicha libaya haswa wakiwa live yaan tbc imeozaaaa
 
Natumia King'amuzi cha Azam, kifurushi kimeisha lkn TBC inasoma kama kawaida, nilizani kuangalia taharifa ya habari TBC ni kitu rahisi, kumbe ni bora uangalie Mdumange utaongeza siku za kuishi kuliko hii Chanel, hapa najiuliza, hivi hii TBC inaendeshwa na kodi za walipa kodi au inaendeshwa na fedha zitokanazo na miradi ya Chama Cha Mapinduzi??!!.
Weka CAPITAL TV nayo inabakiaga,
 
Komaa nao mkuuu angalau utumie kod yako kidogo
 
nishaa i block kwangu. Sitaki ugonjwa wa moyo kwa asira kila ninapoiona.
 
Natumia King'amuzi cha Azam, kifurushi kimeisha lkn TBC inasoma kama kawaida, nilizani kuangalia taharifa ya habari TBC ni kitu rahisi, kumbe ni bora uangalie Mdumange utaongeza siku za kuishi kuliko hii Chanel, hapa najiuliza, hivi hii TBC inaendeshwa na kodi za walipa kodi au inaendeshwa na fedha zitokanazo na miradi ya Chama Cha Mapinduzi??!!.
Imatumia fedha za makinikia...
 
Ni kweli TBC inamapungufu mengi lakini kuhusu taarifa ya habari hujaainisha hayo mapungufu, umeandika kishangingi zaidi
 
Back
Top Bottom