Kero: Kilombero kila Mwezi kuna uhakiki wa wafanyakazi

Bruno mars

Member
Apr 2, 2017
12
6
Kilombero huko, kila mwezi lazima utenge budget ya Uhakiki. Mpaka sasa bwana mdogo ametumia zaidi ya 213000/= kwa nauli, photocopy

Sio FAIR!

a970f79799f98f81f78e8a8a767ed62e.jpg
 
Ulanga na Kilombero ni wilaya mbili tofauti


Heading yako na barua uliyoweka haviendani.

Jitahidi ukielewe kitu vizuri kabla hujaanza kukosoa.
 
Back
Top Bottom