jambo Tanzania
JF-Expert Member
- May 29, 2017
- 377
- 281
Nashukuru sana ITV.ambapo wameonyesha ibada ya kumuombea Mh.lisu ni TV pekee nchini Tanzania ambayo inapata uthubutu kiasi wakuonyesha maendeleo ya Mpendwa wetu Maana lazima shetani apate aibu mwaka huu.