Principal Focus
JF-Expert Member
- Jan 4, 2013
- 913
- 547
Hello jf!
Kuna mtu mmoja anaitwa Jack. He used to live with guilt by himself, kila kitu anachojaribu kufanya rafiki zake wanamwambia huwezi kufika hapo.
Alikuwa anapenda kusikiliza vile watu hufikiria juu yake lakini hakuamua kufanya vile nafsi yake inamdukuma kufanya, huenda na kwako labda unataka kuwa dokta, mwalimu au mfanyabiashara wa wa magari but kile unachojua kuhusu wewe mwenyewe ni kuwa rafiki zako unaowaamini wamesema huwezi kuuza magari sababu huna hata baiskeli.
Hey stop that thinking kila kitu kinahitaji maandalizi kuikuta ile opportunity but umejiandaa vipi? Leo siku ya kwanza but itafika mwaka mmoja, mwaka wa pili na wa tatu uko vilevile. Jack once had a chance but his friends telling him not to do it, kuna muda unafika unafanya reflection ya mahusiano kama ni sumu au chachu ya maendeleo.
Pindi utavyofanya hivyo unaweka mpaka kwamna wewe kwa stage hii huwezi sogea hapa but what have done? Nothing! One day Jack want to change and he looked at him self, akaanza kupima kile walichokisema marafiki zake na vile vitu ambavyo anavyo like talent or ability to do something.
Jack was surprised when he compare what he have with what they say, he found out ako na talent nyingi na akachagua moja ya kuifanyia kazi na sasa amefanikiwa but what's up to you? Uko na opportunity but hujajiandaa kuichukua hiyo opportunity? Why? Don't hate yourself for not being expert just work on yourself.
Usijione mwenye makosa kisa fulani kasema wewe sio mzuri katika uimbaji etc just chagua kipi uko passion nacho then work on it, don't give up. Pale unapokata tamaa kuna mtu anaanza kufatilia huduma yako na kutaka kukufahamu zaidi.