Wakuu poleni sana na vita vya Iran na Israel via Marekani
Siyo poa wakuu wangu hii vita imeniathiri sana pakubwa ukizingatia mimi ni middle business man ambae kwa kiasi kikubwa nategemea mizigo...
1.KIROHO spiritually
nimeshuhudia
ndugu mmoja(jina DINA) aliyekuwa mzima wa afya akiendelea na majukumu yake alianza kuugua ghafla na hatimaye kufariki siku hiyohiyo muda mchache akiwa hospitali...
Njia alizokuwa akitumia Mbowe kuongoza CHADEMA zilikuwa za busara
Kawaida binadamu anayetumia busara huonekana kama mjinga lakini mwisho mjinga hujulikana baada ya matokeo
Kwahiyo tusubiri...
Wakazi wa Morogoro, hasa tunaoishi maeneo ya Kihonda na Manyuki, tunakabiliwa na changamoto kubwa ya barabara, hususan kipindi cha mvua. Barabara ya Manyuki inayotokea Mazimbu imeharibika, na...
Mshindi wa uchaguzi mkuu nchini Hungary Peter Magyar alionekana akishangilia ushindi huo kwa kukata mauno na kurukaruka.
Daktari huyo bingwa wa upasuaji ambaye alikuwa akifanya kazi Hungary na...
Kama kuna habari tunayopaswa kuisikia tena na tena ni habari ya Ujio wa Bwana Yesu Kristo. Hilo ni tukio la hakika na la kutisha kwa wasiomwamini, lakini lenye furaha kuu kwa waaminio. Maandiko...
Ni ngumu sana kumsikiliza Samia kwa dakika 20-30 bila kutoa boko kwenye hotuba zake
Ni ngumu kumsikiliza bila kuchukia
Na ni ngumu sana amalize kuhutubia bila kuja kutetewa au maneno yake...
Kwa mujibu wa tafiti za afya ya umma duniani, wanaume wana wastani wa maisha mafupi kuliko wanawake, jambo lililothibitishwa na World Health Organization. Tofauti hii si ya bahati mbaya, bali ni...
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imefanikiwa kukamata kilo 1,983.31 za dawa za kulevya na kuteketeza ekari 55.5 za mashamba ya bangi katika operesheni kabambe ya mwezi...
Swali zuri sana, na halina jibu moja ambalo kila mtu anakubaliana nalo. Kulingana na mtazamo unaotumia, majibu ni tofauti. Haya ndiyo makundi 4 makuu:
1. Mtazamo wa Kisayansi/Baiolojia
Sayansi...
Wazazi wa Ashly wanaendelea kutafuta majibu kuhusu kifo cha binti yao.
Katika mahojiano yao ya kwanza na chombo cha habari cha kitaifa, CBS wazazi wa Ashly Robinson, mshawishi wa mitindo ya...
Unapeleka transfer pale Halmashauri ya Ilemela Kitengo cha Ardhi umenunua ardhi tuseme ili wakupe form Namba 33 ya transfer apart kuwa umelipia malipo ya Serikali under control number...
Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) limesaini makubaliano na kampuni ya Boeing yatakayowezesha ndege zake aina ya 737-9 na 787-8 kutumia huduma ya Fleet Link, hatua itakayosaidia kupata taarifa za...
Kwa mtazamo wa kisayansi, uhai utakuwa na mwisho. Si kesho wala baada ya miaka milioni, lakini fizikia inasema hakuna kitu kinachodumu milele. Hapa kuna “mwisho” 3 tofauti:
1. Mwisho wa Uhai...
Mfanyabiashara, Rostam Azizi kupitia kampuni yake ya Taifa Gas Tanzania Limited, kwa kushirikiana na Amber Energy Investment L.L.C-FZ, wameingia makubaliano ya kununua biashara ya gesi ya kampuni...
Hospitali ya Muhimbili Mloganzila ni mojawapo ya hospitali kubwa za serikali, lakini imekuwa ikilalamikiwa kwa gharama kubwa za matibabu. Mgonjwa anaweza kulazwa kwa siku mbili tu, lakini bili...