Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jumatatu ya leo ya tarehe 13/04 ni kumbukizi ya siku ya kuzaliwa. Asubuhi nilipokea pongezi kutoka kwa marafiki na jamaa kupitia jumbe za meseji za kawaida na WhatsApp. Ilipofika mida ya saa 4...
11 Reactions
33 Replies
622 Views
Update: 01/11/2026 https://youtube.com/shorts/AQjUOdzfrFg?si=12kV5v3MsRsclBOv ========================= Binafsi naamini 'Uchawi' ni teknolojia usiyoijua. Teknolojia yeyote kama huielewi ni...
9 Reactions
107 Replies
7K Views
https://www.youtube.com/watch?v=GS2Rk1adf7g
0 Reactions
0 Replies
99 Views
Ukweli usemwe: mfumo wa ajira Tanzania Kwa sasa hauendani na kasi ya uzalishaji wa wahitimu (graduate output) wala mahitaji halisi ya maendeleo ya taifa. Mfumo wa Ajira Online alimarufu "AJIRA...
2 Reactions
5 Replies
331 Views
Aliwaingiza vijana wengi kwenye mkenge wa mafanikio kupitia matarajio hewa Alitukana kukejeli na kudhihaki watu wasiofanikiwa na wanaojitafuta Huyu tuliwahi kusema ni mojawapo ya zile project...
22 Reactions
120 Replies
4K Views
Maeneo mengine mengi watu wanavunjaga katiba na wala hawajali!! Lakini kwanini kwenye report ya CAG kuwekwa hadharani ufisadi wanaofanya hapa huwa nini kinatokea? Sawa ni takwa la kikatiba, but...
5 Reactions
13 Replies
227 Views
Nilimaliza form six nikaingia jeshini kwa mjibu wa sheria nilienda kibishi tu na nguo za kitaani fulani nyeupe na modo nyekundu na sendos za kishikaji fulani . Nimefika zangu Dodoma natokea mkoa...
2 Reactions
24 Replies
474 Views
Kuna changamoto ya Mfumo wa Employee Self Service (ESS), Watumishi wa Serikali tunateseka. Nimeanza kutumia Mfumo kwa ajili ya kuomba Uhamisho wa kuhama kutoka ‘Taasisi A’ kwenda ‘Taasisi B’ kwa...
3 Reactions
26 Replies
9K Views
Afande Mansour Awadh Said Afariki akitokea Dodoma kwenda Rukwa Alipumzika Dodoma. Kabla ya kuendelea na Safari ya Rukwa huko Sumbawanga. Je, Dodoma walimpokeaje? Kabla ya kifo alisikika...
7 Reactions
18 Replies
531 Views
Anonymous
Wale Askari wapale Jangwani wanaokamata usafiri kama Bajaj wawe na kauli nzuri na ustaarabu kwa abiria walioko ndani ya usafiri. Wanawafanya watu kama wezi na kuwatolea maneno machafu na kufanya...
1 Reactions
5 Replies
190 Views
MTOTO WAKIUME KUKOSA MALEZI YA BABA BORA MATOKEO YAKE NDIO HAYO KUTANGATANGA KWA KINA IPM NA KINA MWAMPOSA NA WAGANGA WAKIENYEJI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Kijana wangu. Wewe ni...
5 Reactions
63 Replies
988 Views
Naona ukimya wetu wakristo wameingia virus na kuharibu taswira ya ukristo Yaani wakristo manyumbu nao wanamwita huyu bwana prophet na kumpelekea sadaka 1. Kujipa cheo cha Mwenyekiti wa wanaume...
25 Reactions
190 Replies
3K Views
Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Ibrahim Hamis Juma amesema kuwa kuundwa kwa Tume huru ya uchunguzi wa matukio ya vurugu zilizotokea kabla na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025 ni taswira nzuri...
3 Reactions
9 Replies
181 Views
Uanaume si koti unalolivaa ukubwani; ni mbegu iliyooteshwa ndani ya vinasaba (DNA) . Sifa kuu za kiume—Uongozi, Uthubutu, na Ulinzi—ni silika za kibaolojia ambazo mwanaume huzaliwa nazo. Hata...
15 Reactions
63 Replies
611 Views
Kipi bora kati ya pesa na furaha?
3 Reactions
42 Replies
599 Views
Watu wawili wanaodaiwa kuwa ni waendesha bodaboda wamepoteza maisha leo Aprili 14, 2026, baada ya kugongwa na treni ya abiria katika ajali iliyotokea eneo la Mtaa wa Miemba, Kata ya Malolo...
3 Reactions
29 Replies
675 Views
Siku inakuja, siku mbaya ya kutisha, isiyofanana na siku nyingine yoyote. Siku ambayo ukweli wote utawekwa wazi, na kila mtu atasimama mbele ya kiti cha hukumu. Wachache watashangilia lakini wengi...
4 Reactions
19 Replies
418 Views
Nipe tofauti kati ya kuwaza na kufikiri.
3 Reactions
22 Replies
269 Views
Habari Karibu tufungue ubongo . Kwanza nikueleze pesa haiendi kwa mtu asiye na potential cha kwanza uwe mtatua matatizo fulani basi pesa ndio itakufata
6 Reactions
12 Replies
167 Views
TAARIFA KWA UMMA Watuhumiwa 40 wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Hivi karibuni kumejitokeza tabia ya baadhi ya watu kuwatuhumu watu wengine...
3 Reactions
6 Replies
228 Views
Back
Top Bottom