Eneo la Machinjio ya Halmashauri ya Mji wa Tunduma Mkoani Songwe kuna Daktari wa Mifugo ambaye jukumu lake ni kukagua nyama baada ya ng’ombe kuchinjwa, katika ukaguzi wake amekuwa akiondoa sehemu...
Mvua zinazoendelea kunyesha zimesababisha mawe kuporomoka katika Mlima Iyovi Mikumi barabara kuu ya Morogoro - Iringa.
Kutokana na changamoto hiyo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro (RPC), ACP...
Tumbili na Ngedere mara nyingi huchukuliwa kama wanyama sawa, lakini kwa lugha ya kawaida ya Kiswahili, Ngedere (Vervet monkey) anajulikana kwa uso mweusi wenye manyoya meupe kando, huku Tumbili...
Nimeona nyuzi nyingi za kipumbavu humu Jf , kuanzia namna ya kukaa na wanawake kwa akili, jinsi ya kufanikiwa kiuchumi na mpaka wengine kujifanya ni life coaches.
Acheni kujisumbua na uo upumbavu...
JF,
Kwa heshima na taadhima ningependa kujua Nabii Mwamposa amefikaje fikaje hapo alipo na namna Mungu anavyoendelea kumtumia.
Nadhani ni muhimu watumishi Hawa wawe wanatuwekea historia zao ili...
INTRODUCTON.
Leo naongea na wote wenye uhitaji wa pesa, Kila mpango wako kupata pesa umekwama,
Naongea na wote wenye ukata wa pesa, walioajiriwa na Wana mishahara lakini wanadaiwa Kila Kona...
Maisha yana mambo mengi sana, upatapo nafasi na wasaa wa kumsaidia mtu usisite kufanya hivyo.
Ninatoa fursa ya makazi kwa mtafutaji/mpambanaji (Jinsi yoyote), mwenye tabia njema, mwenye mtaji na...
Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania Sheikh Dkt. Abubakar Zubeir Bin Ally ameonesha kuridhishwa na utendaji wa Tume huru ya kuchunguza matukio ya uvunjifu wa amani wakati na baada ya uchaguzi Mkuu wa...
Naomba hapa wale watembea kwa sangoma mtoe shuhuda zenu mliyokutana nayo kwa waganga na toka umeanza kwenda Mganga.
Alikusaidia nini ukaona kabisa shida yako imetatuliwa kwa nguvu ya mganga...
Mtu anakusalimia " Mamb"
Anakujibu "Pow"
Anakuuliza "Mzm"
Anaendelea "xaxa uk wp?
"Xipajui"
"Xamahan"
"Dad xamahan nmekuj kwak xikuon uk wapi?
Halafu Kuna hawa Sasa wanaoona aeiou ni mchosho...
Mpendwa Mlipakodi,
Asante kwa mrejesho wako kuhusu huduma ya kituo cha wateja.
Tunasikitika kwa usumbufu uliopata, hasa katika matumizi ya mfumo na module ya remission. Tumeanza kuchukua hatua...
Ndugu zangu maisha sio kutafutana, maisha ni kutafuta, mwanaume kama huna pesa, basi niseme maisha yako yatakua ya hovyo na utakufa ukiwa na uchungu sana..
Safari ni ndefu sana iliyojaa tabu...
Jambo wadau?
Naingia kwenye mada moja kwa moja pasipo kuwachosha na maneno mengi. Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikifuatilia upako wa manabii na mitume jinsi wanavyoanza huduma zao kwa pako za...
Idara ya uhamiaji jamani pameshakuwa kero Tena zaidi ya kero.. Unaenda kufanya mchakato wa Passport ukifika huko wanakujibu kuwa hakuna mtandao Wiki nzima au muda mwingine wanakuambia eti taarifa...
Habarini
kwa kipindi kirefu nimejaribu kufuatilia hali ya ndani ya nchi yetu hasa suala zima la afya pamoja na kukithiri kwa rushwa ila nimejikuta nikipata hofu kubwa juu ya nini kitafuata kwa...
Hii haikuhusu wewe mlokole ambaye hauna ushirika yaani mchungaji wako akifa na kanisa linakufa wala wewe msabato ambaye tumaini lako katika wokovu linategemea mahubiri ya mabaya ya kanisa...
Ukistaajabu ha Musa utayaona ya Firauni unaweza kusema hivyo. Na wahenga waliosema tembea ujionee hakika walikuwa sahihi.
Wiki iliyopita nilitembelea mkoani Kigoma wilaya ya Kibondo...
Bomba la TAZAMA lina urefu wa 1700 kilomita. Linatola Dar es Salaam, Tanzania hadi Ndola, Zambia. Zamani hasa lilikuwa linasafirisha mafuta ghafi. Mwaka 2023 wameliupgrade na sasa linasafirisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.