Za saa hizi.
Ninachojua Azazel alikuwa malaika ambaye alileta teknolojia kwa binadamu. Sasa kuna watu tena zaidi ya mmoja wamewahi kukiri kuonana naye live kwa kufanya mambo kadhaa na kufuata...
Nimeota jana ndoto Tanzania wameshinda Afcon.
Mechi hiyo ya fainali ilikuwa Morocco vs Tanzania. Tanzania walinyakua ubingwaa baada ya kuifunga Morocco 3-1...
Mimi ni Mfanyabiashara wa eneo la Mwenge karibu na hii Stand mpya ya dalalala, hapa kuna kero moja kwa sisi wafanyabiara,
Kuna matent mukubwa yaliyopo mbele ya maduka ya wafanyabiashara, yameziba...
Kristo, habarini za asubuhi, wapendwa wanajimbo la Kondoa tumepata pigo kubwa la kuondokewa na Baba askofu wetu Bernadine Mfumbusa.
Raha ya milele umpe Ee Bwana na mwanga wa milele umwangazie...
Dkt. Ayub Rioba Chacha aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu Shirika La Utangazaji Tanzania (TBC) anaelezea umuhimu wa kuilinda Amani ya taifa letu kwetu sisi kama Vijana.
Soma Pia: Dkt. Rioba: Vyombo vya...
Ni mara kadhaa nimewahi panda gari konda na dereva wakawa wamepishana kauli hawaelewani wanagombana, ila hii ya leo walizidi.
Leo nimepanda daladala kutoka Tegeta kwenda Mwenge, konda na Dereva...
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Songoro Mnyonge amewahimiza vijana kutoa majibu kwa maswali ya kulijenga taifa ili kupeleka mbele maendeleo ya taifa kwakuwa wazalendo wa kweli wanaoipenda na...
Mara nyingi tunaona nchi kama
Sudan
South Sudan
Chad
Somalia
Burundi
Madagascar
And some parts of
Nigeria
Kenya
Ethiopia
Kila mwaka lazima usikie kutoka hizi nchi kuwa millions wanaface...
Kuna baadhi wanadai ni kile chama cha majambazi lakini kiuhalisia hakina akili kubwa namna hiyo.. Maana chenyewe kiko hoi bin taaban chali kabisa
Haya ni matukio yakuja na kupita
Yapo
Yalikuwepo...
Subject: A Message from an Egyptian Brother: 25 Days of Silence and Concern at Dar Port
Habari Tanzania,
I am writing this not as an official, but as an Egyptian citizen who has lived and worked...
Huwa najiuliza unapokuwa unaomba mfano B.O au Custom Search ya kampuni kwa nini huwa wanazizuia muda mrefu? Muda ambao ukitoa "kipozeo" badala ya wiki 2 au 3 zinakuwa siku 2 au 3!
Kwanini siku...
Habari wadau,kama kichwa cha habari hapo juu kinajieleza ni muda toka amestaafu ila sijasikia taarifa zake, kwa sasa yuko wapi?
Mlioko Songea mnijuze hilo kwani kabla alikuwa jimbo la Iringa.
Jeshi la Polisi Visiwani Zanzibar linamshikilia Joe McCann ni Mchumba wa marehemu Ashly Robinson maarufu kama "Ashlee Jenae" kufuatia tukio la kifo chake lililoripotiwa kutokea siku kadhaa...
Wanawake hawaheshimu taasisi ya ndoa Ile tabia ya uchumba huwa inayeyuka mpaka wanakuwa wanyama ndani ya ndoa zetu.
Poleni sana wanandoa.
Kupitia hili sisi wanaume tujue kwamba kumzalisha mke...
Neno linasema, "NIITE NAMI NITAKUITIKIA, NAMI NITAKUONYESHA MAMBO MAKUBWA, MAGUMU USIYOYAJUA."
Neno la Mungu katika kitabu cha YEREMIA linatuonesha kwamba nabii Yeremia alikuwa mfungwa wakati...
VIONGOZI TUHUBURI UTAKATIFU
1)Ipo kauli moja ambayo ambayo inapendwa sana na waamini wanaopenda sababu ya kuhalalisha kwao kudumu kuishi kudumu katika dhambi
1)kauli ya kwanza wanayoipenda...
13
Yer 17:5 SUV
BWANA asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake Na moyoni mwake amemwacha BWANA.
Mtumishi wa Mungu mmoja alianzisha huduma yake ya...
Wakuu poleni sana na vita vya Iran na Israel via Marekani
Siyo poa wakuu wangu hii vita imeniathiri sana pakubwa ukizingatia mimi ni middle business man ambae kwa kiasi kikubwa nategemea mizigo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.