a sinner saved by Christ
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 3,347
- 3,825
1.KIROHO spiritually
nimeshuhudia
ndugu mmoja(jina DINA) aliyekuwa mzima wa afya akiendelea na majukumu yake alianza kuugua ghafla na hatimaye kufariki siku hiyohiyo muda mchache akiwa hospitali alipopelekwa kwa matibabu,hali ya uginjwa wake ilimuanza ghafla
mara tu baada ya kutoka kupeana mkono hand shaking na bibi mmoja ndugu yake wa ukoo anayeaminika kuwa ni mshirikina
akiwa nyumbani kwake akiendelea na majukumu yake alipata ugeni wa ghafla bila taarifa ukiwa umeongozana na mama yake mdogo ambaye mama yake mzazi na huyo mama mdogo wamechangia baba akiwa na mama mzazi wa huyo mama yake mdogo(bibi yake)
alitangulia kuingia huyo mama mdogo huku bibi akiwa ameachwa kwenye gari mana ni mzee sana .
huyo mama mdogo baada ya kusalimiana akaanza kumsihi aende kwwenye gari akamsalimie na bibi yake
DINA akakataa mara tatu tena akmwambia huyo bibi asije akani uwa na uchawi wake mimi nategemewa nalea watoto wadogo isije ikawa ana nia mbaya ya kunidhuru mana anafahamika kijiji kizima kuwa ni mwanga ,mbona mama mdogo unanilazimisha sana nikampe mkono??mi sitaki..
baadae akakubali kwenda kumfuata huyo bibi aliyekuwa kwenye gari huko nje kwenda kumpa mkono kwa vile mama ake mdogo alimsisitiza sana aende amsalimie mara moja tu.
baada ya kuondoka ,mkono ukaanza kumuuma na kichwa na mwili mzima nankuishiwa nguvu ,akapiga simu kwa mama ake mdogo kulalamika mama yako amenifanyia mazingara gani mbona baada ya kusalimiana kwa kupena mkono nimeanza kuumwa mwambie asiniue mimi nina watoto wadogo nalea nategemea..
baada ya kupiga simu ,maumivu yakapungua kwa muda mchache tu,halafu baada ya kama dakika chache yakarudi tena kwa kasi ..akaomba msaada kukimbizwa hospitali..ndio akafa akiwa hispitali
MIKONO IMEBEBA NINI KIROHO.?
Mit 3:16
Ana wingi wa siku katika mkono wake wa kuume, Utajiri na heshima katika mkono wake wa kushoto.
Kuna baadhi ya watu wakikushika mkono tu..unaanza kuhisi hali ya tofauti katika huo mkono..
na kama ni mtu wa maombi unasali sana na kufunga na unajitahidi kujiepusha na dhambi na maovu..
ukipeana mkono na mtu mwenye nguvu za giza unashangaa mkono wako unapiga shoti kabisa kama shoti ya umeme unatetemeka(watu wa maombi wataelewa)
NDOTO ZA KUUMIA MKONO.
Ukiota umeumia mkono,ama mtu anakuumiza mkono ,amekujeruhi mkono,ama umekatika mkono,ama mnyama amekuuma/amekung'ata mkono
inategemea ni mkono wa upande upi
mkono wa kulia/kuume--wana lengo la kupunguza wingi wa siku zako kiroho. na mkono wa kushoto wanalenga (utajiri na heshima yako).
Mungu huwa anaongea na wewe kupitia instincts/mawazo yako ya ndani ,akili mwako nafsini rohoni mawazoni mwako..ukisikia nafsi/roho mawazo yako au akili yako inakwambia usifanye jambo fulani au fanya jambo fulani..inawwzekana ni sauti ya ndani ya Mungu inakusemesha kukuepusha na hatari ,isikilize ,kama huyu DINA angesikiliza sauti iliyomwambia usipeane mkono.
2.KIAFYA ya ROHONI na mwilini
Kupeana mkono inaweza kukuletea magonjwa ya kiroho na mwilini.
Nakumbuka wakati wa COVID 19 watu walikuwa hawapeani mikono handshaking
TAMADUNI ZETU ZA KUPEANA MIKONO..na kusema watanionaje atajisikia vibaya nisipompa mkono.
sasa na wengine watu wazima hulenda kushika watoto wadogo wa wenzio kuwashika VICHWANI na hata mikononi huku wakiwasalimia na kuwatania tania..TAMADUNI na mila (ila wanaweza kuwaambukiza magonjwa ya kiroho na kimwili hata mafua tu.