Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Watu wenye nyota ya ng'e ni watu wote waliozaliwa kati ya tarehe 23 oktoba mpaka tarehe 21 Novemba Kama unataka kufanikiwa kwenye jambo lako hasa linalohusu uchumi na kuvutia pesa kwako jizoeshe...
3 Reactions
6 Replies
304 Views
Nakiri Mbele ya hadhara kwamba huwa siwapendi kabisa wanaccm n.a. Wala hata wakifa sihuzuniki, Lakini Pamoja n.a. hayo bado jambo Hilo halinizuii kuhoji kuhusu vifo vyao vyenye utata Ni dhahiri...
16 Reactions
38 Replies
1K Views
Tukiwa tunaianza weekend vyema haswa na utulivu wa hali ya hewa. Kumekuwa na video mjongeo ikimuonyesha mwanaume mmoja huko Ivory Coast akimtandika bakora mke wake hasa kisa kikiwa ni mwanamke...
5 Reactions
59 Replies
713 Views
Wakuu, Leo siku ya wanawake Duniani, taja wanawake unaowakubali sana jukwaani, mimi wangu ni 1. Cute Wife - sasa ntgajiachaje 😎😎 2. Doctor Mama Amon - si ndo nimesahau ID yako inavyoandikwa, ila...
15 Reactions
247 Replies
2K Views
Dini ndio iliyoigawa Afrika, watu Waafrika amkeni na kuachana na hizo dini ili kupata maendeleo
5 Reactions
27 Replies
802 Views
  • Redirect
Basi la abiria aina ya Yutong linalomilikiwa na kampuni ya Abood, lenye namba ya usajili T 181 EMJ, limekamatwa katika eneo la Tegeta Kibo jijini Dar es Salaam likiwa limesheheni kilogramu 101.2...
4 Reactions
– Replies
– Views
Sherehe za Ushindi Roma — “Memento Homo” Jua lilikuwa juu ya anga la Roma, likimwaga mwanga wa dhahabu juu ya mawe ya barabara na kuta za mji uliokuwa umejaa shangwe. Siku hiyo haikuwa ya...
2 Reactions
1 Replies
87 Views
Anonymous (fdc6)
Mimi ni Mkazi wa Kimara, Barabara yetu imefukuliwa tu lakini tangu miaka ya 64 ya uhuru hadi leo hatujawekewa lami, Wananchi tunateseka sana hasa vipindi vya mvua. Hiyo ni barabara inayotoka...
0 Reactions
1 Replies
142 Views
Utangulizi wa kunukuu maelezo ya Muhanga aliyetusaidia kujua undani wa hizi operations za kampuni ya Silent Ocean Nchini, zikiongozwa na CEO wake, Saalah Mohammed, mdogo wake na GSM. Hapo...
179 Reactions
889 Replies
90K Views
Anonymous (c723)
Wizara ya Mambo ya Ndani idara ya Uhamiaji wamekuwa ni kero sana katika uchakataji ya passport za kusafiria kutokutoka mapema na wakati. ...na ukitembelea Ofisi zao kuuliza nini shida hawana...
6 Reactions
23 Replies
684 Views
Hii ilitokea leo usiku ambaop nimechelewa kutoka kwenye mihangaiko yangu ( hua naingia mihangaikoni ) niliingia magetoni kama kawaida, na kila kitu kilikuwa kawaida kabisa. nilikuwa nimechoka...
8 Reactions
50 Replies
1K Views
Leo nakuja tofauti kabisa na nilivozoeleka, naomba sana msaada wa ufafanuzi juu ya hii ndoto niliyoota leo na nimeamka bado imekisonga sana kichwa changu...... kwny uzao upande wa mama yangu...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Anonymous (273e)
Huu ni Muonekano wa Barabara ya Mtaa wa Mitawa, Kata ya Tanga, Manispaa ya Songea, Mkoani Ruvuma. Miundombinu ya Barabara hiyo inayotokea Shule ya Msingi Mitawa imeharibiwa Sana na Mvua...
0 Reactions
2 Replies
146 Views
Ofisi ya Idara ya Uhamiaji Mkoani Arusha mnatuumiza sana, pasipoti unaomba Januari unaambiwa usubiri Miezi 5 mpaka 6 sababu foleni ni kubwa. Mara karatasi za ku-print zimeisha au kuna Maafisa...
7 Reactions
17 Replies
444 Views
Wananchi 1,730 wanaopisha njia ya kusafirisha umeme ya msongo wa Kilovoti 220 kutoka Masasi hadi Mahumbika wanatarajiwa kupewa fidia ya Shilingi Bilioni 5.1 ambazo Serikali imezitenga katika mwaka...
1 Reactions
2 Replies
143 Views
Mwaka huu mwanzoni nilikuwa mkoani Arusha kwa jamaa yangu mmoja tuliyetoka nae Kijiji kimoja huko mkoani kwa baba wa taifa. Siku moja katika matembezi mjini na huyu jamaa yangu, Ghafla...
9 Reactions
31 Replies
21K Views
Anonymous (273e)
Jengo la RITA Tower lililoko Posta Dar es Salaam, naona wameamua kulisahau mpaka siku maafa yatokee ili waunde tume. Jengo lile lina ghorofa 26, mnaweza kuelewa limebeba watu wengi kiasi gani...
0 Reactions
0 Replies
197 Views
Anonymous (0829)
Wananchi wa vitongoji vya Kikungili, Omukajiji, Rushanje na Rwandalo Kata ya Nyaishozi, wilayani Karagwe mkoani Kagera, tunakabiliwa wanalazimika kutumia maji yasiyo safi na salama kutoka kwenye...
0 Reactions
1 Replies
212 Views
Kero yangu ipo kwa DTO wa Kituo cha Polisi, MBIGILI Mkoa wa IRINGA, amekuwa akikamata Bajaj ovyoovyo na kuwashikilia madereva kwa kuwaweka ndani ya Bajaj zao pamoja na kuweka mikakati migumu ya...
0 Reactions
5 Replies
139 Views
Anonymous (c04c)
Eneo la Machinjio ya Halmashauri ya Mji wa Tunduma Mkoani Songwe kuna Daktari wa Mifugo ambaye jukumu lake ni kukagua nyama baada ya ng’ombe kuchinjwa, katika ukaguzi wake amekuwa akiondoa sehemu...
0 Reactions
0 Replies
298 Views
Back
Top Bottom