Majambazi yapora pesa mbele ya makao makuu ya jeshi la Polisi mda huu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Majambazi yapora pesa mbele ya makao makuu ya jeshi la Polisi mda huu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Yericko Nyerere, Jul 8, 2011.

 1. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #1
  Jul 8, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,248
  Likes Received: 3,836
  Trophy Points: 280
  Katika halisi ya kutokuamini macho yangu Majambazi mawili ya kiwa na pikipiki yamepora pesa kwenye gari T450 atd mitsubish pick up. Ktk ya njiapanda ya Ghana str na Ohaio jirani kabisa na Makao makuu ya Said Mwema dk hii!
   
 2. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #2
  Jul 8, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,078
  Likes Received: 1,815
  Trophy Points: 280
  hawata fika mbali watakamatwa... hao majambazi ni wajinga hawajatumia akili .... wapora pesa mbele ya kituo cha polisi lol ...
   
 3. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #3
  Jul 8, 2011
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,196
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Kila mtu anapora pesa tanzania siku hizi, wengine wanapora posho halafu wanalala, wengine ni safari huku na kule, wengine hela za rada, wengine Epa, wengine mikataba ya dhahabu, wengine mikataba ya uranium, wengine mikataba ya chuma, wengine hela za kujenga vyoo vya shule za msingi, wengine Dowans, agreco, songas, symbion, panafrica gas, wengine TRC wengine ATC, wengine TTCL, wengine nyumba za serikali, wengine nyumba za NHC, wengine consolidated.Orodha ni ndefu isiyokwisha.

  Tunapopishana ni style ya kupora basi wengine na silaha, wengine na pikipiki wengine na kalamu, that is the only difference
   
 4. K

  Kiluvya2011 JF-Expert Member

  #4
  Jul 8, 2011
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 215
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Dah hayo majambazi nouma...vp tujuze kiasi cha pesa kilichoibwa?
   
 5. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #5
  Jul 8, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Na wao wanakula kwa jasho lao
   
 6. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #6
  Jul 8, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,508
  Likes Received: 5,740
  Trophy Points: 280
  sasa waliopora si wametoka hapo makao makuu ya jeshio ulitaka wauwane wenyewe kwa wenyenyewe kwani wajinga
   
 7. n

  nrongalema Member

  #7
  Jul 8, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  duuuu!
  hiyo itakuwa ni line iliyochirwaa!
   
 8. Kitty Galore

  Kitty Galore JF-Expert Member

  #8
  Jul 8, 2011
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 347
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  hii ni bomba sana, big up majambazi, mwendo huo huo
   
 9. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #9
  Jul 8, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,804
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Safi sana - Kila mtu na ale kwa urefu wa kamba yake
   
 10. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #10
  Jul 8, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,248
  Likes Received: 3,836
  Trophy Points: 280
  Upatikanaji wa habari hapa ni mgumu sana ndugu, zaidi naripoti kile nilicho kiona tu
   
 11. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #11
  Jul 8, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Wakati wa watu kuonyesha UBUNIFU
  KAZI NI KWAKO
   
 12. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #12
  Jul 8, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,248
  Likes Received: 3,836
  Trophy Points: 280
  Ninachojiuliza bila majibu ni Intelijensia zao haziwezi kunusa matukio kama hayo?
   
 13. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #13
  Jul 8, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  jiandae ukaisaidie polisi
   
 14. Chaser

  Chaser Member

  #14
  Jul 8, 2011
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naomba source, kwasababu hiyo ni numberplate ya kibajaji
   
 15. L

  LAT JF-Expert Member

  #15
  Jul 8, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  hiyo pikipiki wataitelekeza mbele ya safari na kupanda nyingine

  huu ndiyo mtindo wao siku hizi
   
 16. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #16
  Jul 8, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,248
  Likes Received: 3,836
  Trophy Points: 280
  Shahidi namba moja ni Said Mwema!!
   
 17. C

  CHRIS CM Member

  #17
  Jul 8, 2011
  Joined: Jun 12, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  du! watu wamekuwa sugu! jamani hali ya maisha ngumu cku hz watu wanajitoa mhanga. wakikamatwa itakula kwao, wasipokamatwa mhnna shaka na askari wetu
   
 18. emmanuel1976

  emmanuel1976 JF-Expert Member

  #18
  Jul 8, 2011
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 301
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yangu macho ngoja tuone!
   
 19. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #19
  Jul 8, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Hawana tofauti na wale waliokula za epa,kagoda,meremeta wasipokamatwa hongera zao
   
 20. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #20
  Jul 8, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Wanashindana na Mzee wa Vijisenti hao hahahah
   
Loading...