Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna zoezi litafanyika hivi karibuni la watu wa idara ya kazi kupita nyumba kwa nyumba juu mikataba ya kazi kwa wafanyakazi wote ikijumuisha wafanyakazi wa majumbani pia. Wanakagua vitu...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Mpwapwa. Mji wa Mpwapwa jana uligubikwa na vilio wakati wa mazishi ya ndugu watano wa naibu waziri wa zamani wa viwanda, biashara, Gregory Teu waliofariki katika ajali iliyotokea nchini Uganda na...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Wanasayansi wamekuwa wakitengeneza chembe chembe za kinga ya mwili zinazoweza kushambulia asilimia 99% ya virusi vya HIV vinavyosababisha ukimwi na hivyo kuzuwia maambukizi kuendelea. Chembe...
7 Reactions
80 Replies
10K Views
Ukifika ni mahari panapo ibukia kimaendeleo .kuna kahawa kwa wingi kama zao la kibiashara .nauli kutoka songea ni tsh 4500/= shida ya huku ni moja uchawi yaani sayansi ya kiafrika nawo wamo huku...
0 Reactions
18 Replies
9K Views
Habari za muda huu wanabodi natumaini wazima wa afya, wanabodi wajitokeza kwenu kuomba msaada wa kuifanya blog yangu uweze kujiendesha kibiashara kama kuna mtu anaweza kunisaidia ni jinsi gani...
0 Reactions
1 Replies
925 Views
Habari wana jamvi kwa anekumbuka vizuri kwa nn sh 500 iliitwa hero na 1000 kuitwa buku, mm kumbukumbu yangu ni kuwa jero ilitokana na neno pajero wakati huo nagari ya pajero yanaingia ndio noti ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
wiki 2-3 hawa jamaa walitoa tangazo kuhitaji watu wa kukusanya taarifa juu ya wakulima. sehemu nilipo kuwa tulihamasishana kutuma maombi, watu kama 8 tukatuma. watatu tukatumia matokeo ya kidato...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habarini za leo. Mwanajf mwenzetu Mathenge amefiwa na mama yake mzazi huko Mpwapwa - Dodoma leo asubuhi. Tuungane naye katika kipindi hiki kigumu. Raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa...
17 Reactions
152 Replies
11K Views
Wanajukwaa., Wote tunatambua uzalendo na umuhimu wa Tundu Lissu katika taifa hili. Michango ya kumuuguza tumechanga japo bado haijatosha, tuzidi kuchanga. Maombi tumefanya japo tumedhibitiwa...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Kamanda wa polisi wa Mkoa wa Geita , Mtukufu Mponjoli Mwabulambo amenukuliwa na gazeti la Nipashe " AKIONGEA KWA MAJIVUNO " kwamba Jeshi hilo halina taarifa za kutofikishwa mahakamani kwa viongozi...
6 Reactions
42 Replies
8K Views
Dar es Salaam. Mahakama ya Wilaya ya Ilala, imewahukumu kifungo cha maisha jela washtakiwa wawili baada ya kupatikana na hatia katika makosa matatu ya kubaka kwa zamu, kulawiti na kujeruhi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu nimeshangazwa kumsikia kiongozi wa upinzani Uganda kizza Besigye akiongea kiswahili kizuri kuliko cha wakenya.Nimeona kwenye taarifa ya habari ya ITV. Naomba kujua historia ya huyu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
tangu juzi upepo mkali asbuhi/mchana unapuliza baraa yaani vumbi siyo la nchi hii huko kwenu vipi?
0 Reactions
0 Replies
997 Views
Jamani, msije kusema napiga porojo, mimi nina digrii kadhaa kwenye mambo ya biashara, nimetumia karibu miaka kumi kusomea mambo ya kibiashara, kwa hiyo ndio maana naona bora niwataadharishe nyie...
27 Reactions
105 Replies
20K Views
Salamuni wandugu. Ni mara chache sana huwa naandika humu jukwaani. Nimekuwa nikifuatilia kwa makini sana kilio cha watumishi juu ya kutopanda mishahara wala madaraja tangu utawala huu wa awamu ya...
0 Reactions
0 Replies
824 Views
Kwa kiingereza bofya hapa - English version: EQUINOX LINE UP of JUPITER-CRESCENT MOON MARKS BEGINNING OF LUNAR NEW YEAR Sikusare ya pili mwaka huu (September Equinox) ni tarehe 22 Septemba...
1 Reactions
17 Replies
5K Views
Wakazi wa kijiji cha Nholi wilayani Bahi Dodoma wameiomba serikali kufunga machimbo ya dhahabu yaliyoko eneo hilo wakiofia uvunjifu wa amani na uharibifu wa mazingira kutokana na kuendeshwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu ,mko poa,..naomba kupatiwa msada,..kuna kigar nmekiona kwenye page flan ya madalal wa magar wale wa insta,nmekapenda nataka nikavute nikapige ubber..sasa ukitoa vibal na document zingne...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Naona hii hali ya hawa watu wanao omba inaendelea kwa kasi sana na wengi wao wana ndugu na jamaaa zao wa karibu kabisa... Je, vijana tufanyaje na hili katika nchi ya Tanzania tunaweza toa...
1 Reactions
0 Replies
685 Views
Back
Top Bottom