Pale wananchi wanapokerwa na matamshi/matendo ya Rais wao

ZE NDINDINDI

JF-Expert Member
Sep 19, 2016
1,885
4,010
Embu fikiria jinsi baadhi ya wamarekani walivyomuonaga Barack obama si lolote wala chochote kisa tu jamaa polite wakamuona very weak hata hapa ndani memba maarufu aitwaye Nyani Ngabu alikuwa anamkandia sana.

Ghafla sasa wakapata the Orange man mwenyewe, Rais mpumbavu anayeitia aibu ikulu ya Marekani kwa matamshi na vitendo vyake, Mr Trump, huwa naburudika sana nikienda youtube kuangalia nightshows za kina Trvor noah, Stephen Colbert, Seth Meyers, John oliver, Bill Maher wanajua kumake jokes za kutosha kuhusu Rais huyu asiyejiheshimu , anayechochea utengano badala ya umoja wa wamarekani

Moral of the story is...unaweza ukaruka mkojo ukakanyaga mavi, unaweza ukadhani ..ah huyu Rais gani bwana kumbe ukaja kupata Rais ambaye kila hotuba yake inaacha vumbi jeusi na hewa chafu nyuma yake
 
Wote wanataka kujenga ukuta.....
 
Wenyewe wamarekani wanampenda Rais wao ukiondoa fujo baada ya uchaguzi.

Jamaa zangu wanasema ni vyombo vya habari ndivyo vyenye ajenda mbaya na Trump baada kuvitukana wazi wazi wakati wa kampeni na hata baada ya uchaguzi.

Nakumbuka Kuna siku CNN ilifukuzwa kwenye Press conference ya White House wakaambiwa watapata taarifa kupitia vyombo vingine vya habari.
 
hujui unachokiongea mzee wa buku 7,approval rate yake ya mwaka huu ni ngapi?hata ukinipa siku nzima siwezi kuandika upuuzi alioufanya trump hapa muda ukatosha,naomba u refer tukio la wabaguzi wa KKK/NEO NAZI/WHITE SUPREMACIST walichokifanya charlotville na alichokiongea Trump.ni Rais bogus,aliyezungukwa na wasaidizi incompetent,anabagua raia wake na kuchochea migawanyiko,kila siku anajaribu kuua legacy ya Rais aliyemtangulia yaani Obama,anamkandia kwenye speech zake zenye matege..kwa kifupi ni hayo kama au tembela www.rawstory.com kwa maelezo au zaidi,au ingia you tube search Trevor noah,stephen colbert,John oliver ,seth meyers.. uzuri huko wakosoaji hawapigwi risasi wala &&^^&&&,umeangalia EMMys awards ya juzi?ingia you tube,watu wa lumumba jiongezeni bana mbona mko shallow hiyo,hata mambo ya knowldge mnategemea POLISI wawasaidie kama vile wanavyomsaidia polepole kudeal na kina lissu?
unajua investigation ya Mueller imefikia wapi kuhusu Russia kuingilia uchaguzi wa US kwa kushirikiana na Trump?kuhusu issue ya manafort? huyo boya Rais wa marekani hana miezi sita mbele anakuwa IMPEACHED sababu ni aiabu RAIS WA NCHI YOYOTE MBELE KUWEKA URAFIKI NA RAIS WA NCHI NYINGINE MBELE HUKU AKIHATARISHA MASLAHI YA NCHI YAKE BILA KUJALI VIZAZI VIJAVYO.I rest my case mr lumumba buku saba
 
Embu fikiria jinsi baadhi ya wamarekani walivyomuonaga Barack obama si lolote wala chochote kisa tu jamaa polite wakamuona very weak hata hapa ndani memba maarufu aitwaye Nyani Ngabu alikuwa anamkandia sana.

Ghafla sasa wakapata the Orange man mwenyewe, Rais mpumbavu anayeitia aibu ikulu ya Marekani kwa matamshi na vitendo vyake, Mr Trump, huwa naburudika sana nikienda youtube kuangalia nightshows za kina Trvor noah, Stephen Colbert, Seth Meyers, John oliver, Bill Maher wanajua kumake jokes za kutosha kuhusu Rais huyu asiyejiheshimu , anayechochea utengano badala ya umoja wa wamarekani

Moral of the story is...unaweza ukaruka mkojo ukakanyaga mavi, unaweza ukadhani ..ah huyu Rais gani bwana kumbe ukaja kupata Rais ambaye kila hotuba yake inaacha vumbi jeusi na hewa chafu nyuma yake
Tumeruka ndogo na kukanyaga kubwa! Tukajengeni kuta ndefu kuzuia wevi wa makinikia yetu
 
Hahahahahahha ukuta between Mexico and us the same applied to us ukuta around makinikia field
 
Back
Top Bottom