Mandakakawa
Senior Member
- Mar 29, 2017
- 113
- 56
Ebu wadau wa elimu nisaidie hili
Asubuhi ninemsikia mkuu wa mkoa wa mwanza amealikwa kwenye uzinduzi wa ebook program kwenye shule ya secondary pamba Mwanza
Kwa nnavyoewa mm ebook program ni system ya mtandao wenye vitabu vya shule ya msingi na secondary kwa ajili ya wanafunzi kujisomea online (I'm stand to be corrected kama nimekosea)
Kilichonishangaza ni pale niliposikia " ni marufuku kwa mwanafunzi wa shule ya msingi au kwenda na simu shule ikibainika mkuu wa shule na mwalimu wa darasa watatumbuliwa" na akaongeza " sera yetu ya elimu simu sio kifaa cha kujifunzia kwa mwanafunzi wa shule ya msingi na secondary"
Najiuliza hawa watunga sera na wadau wa elimu haya mapinduzi ya Technology hawayaoni?
Na hii program ya ebook haiwezi kutumika kwenye simu mpaka mwanafunzi umkataze?