yahooo
Senior Member
- Apr 8, 2015
- 126
- 276
Kwa kuwa Dodoma inatarajiwa kuwa mji mkubwa Wa kibiashara na wa mfano, ninashauri mplan eneo kubwa kwaajili ya kupokea bidhaa mbalimbali za mazao na viwandani...Soko hilo lijengwe mapema ili kustimulate uchumi...nilipita huko nikaona vijisoko vidogovidogo, hakuna soko kubwa rasmi kwaajili ya kupokea bidhaa kutoka nje.