Kwanini Kenya kuna idadi kubwa ya "Gays" kuliko Uganda na Tanzania?

mfirimba_ass

Member
Sep 21, 2017
11
1
Kwa utafiti Mdogo niliofanya n kua Kenya ina idadi kubwa zaidi ya gays kuliko nchi nyingine za East Africa!!...
Hasa wengi wakitokea Mombasa Na Nairobi
Ikumbukwe kua Google walishatoaga riport kpnd cha nyuma kua Ktk East Africa Kenya ndio wanaongoza kugoogle neno "Gays"... Ikiwa n ktk nyanja zote ikiwepo kusearch Gy porn!!

Nini kinasababisha !!...Labda wachanganuaji Na wanatafiti mtusaidie
 
Malezi yao tu yanafanya wawe hivyo . . .tena hata mwanamke wa ki MOMBASA ukimtafuna BILA KUMGEUZA basi wewe unaonekana FALA....MOMBASA mashoga ya KIUME na KIKE wote wanageuzwa....mombasa sio kama DAR kule ukiona mwanamme KAFUGA MIDEVU muogope sana juwa sio fassion....ANAJIHAMI na MAMENDE....
 
Jina lako lina ukakasi na vinaendana na topic ila Mimi nilifeli hesabu za mlinganyo.
 
ni mapokeo mabaya ya utandawazi na desturi za watu wa magharibi.

kwa EA nadhani kenya ndio nchi kinara ambayo watu wake hujisikia fahari sana kuiga lifestyle za wazungu wakiamini kwamba huo ndio ustaarabu.

hata katika malezi ya watoto,ni agharabu sana kukuta mkenya akimkanya mtoto wake....huwa wanalea watoto wao kama vile wazungu wanavyolea watoto wao.

mkenya hagombezi mtoto...matokeo yake unakuta vitoto vidogo vya wakenya vinakuwa na tabia za ajabu ajabu.

wakenya hujiona wao ni kama waingereza,matokeo yake wanaiga kila kitu mpaka tabia za kishenzi za watu weupe.
 
ni mapokeo mabaya ya utandawazi na desturi za watu wa magharibi.

kwa EA nadhani kenya ndio nchi kinara ambayo watu wake hujisikia fahari sana kuiga lifestyle za wazungu wakiamini kwamba huo ndio ustaarabu.

hata katika malezi ya watoto,ni agharabu sana kukuta mkenya akimkanya mtoto wake....huwa wanalea watoto wao kama vile wazungu wanavyolea watoto wake.matokeo yake unakuta vitoto vidogo vya wakenya vinakuwa na tabia za ajabu ajabu.

wakenya hujiona wao ni kama waingereza,matokeo yake wanaiga kila kitu mpaka tabia za kishenzi.
Wakikuyu kwenye familia kukiwa na binti ameolewa na mzungu ndiyo fahari yao
 
Wakikuyu kwenye familia kukiwa na binti ameolewa na mzungu ndiyo fahari yao
hilo kabila ndio linaongoza kwa vijana wengi wa kiume kuwa mashoga nchini kenya.

nimemkumbuka kijana mmoja mkikuyu kwa jina la njoroge, alikuwa ana mgahawa wake nje ya ofisi yetu pale nairobi.

nikaja kupewa habari zake kumbe ni shoga...nilipigwa na butwaa maana kimuonekano ni shababi kweli kweli,ana mke mzuri.

mda wote yeye na mkewe wanashinda pamoja katika biashara yao ya mgahawa.
 
Kwa utafiti Mdogo niliofanya n kua Kenya ina idadi kubwa zaidi ya gays kuliko nchi nyingine za East Africa!!...
Hasa wengi wakitokea Mombasa Na Nairobi
Ikumbukwe kua Google walishatoaga riport kpnd cha nyuma kua Ktk East Africa Kenya ndio wanaongoza kugoogle neno "Gays"... Ikiwa n ktk nyanja zote ikiwepo kusearch Gy porn!!

Nini kinasababisha !!...Labda wachanganuaji Na wanatafiti mtusaidie
Western culture hiyo, acha iwatafune.
Si hua mnasifia kuongea kizungu ndo usomi, haya Sasa waache wapambane na hali zao, Kwa kua wako vizuri katika lugha ya mkoloni
 
Back
Top Bottom