Vitambi na Majeshi yetu

Vitambi na Majeshi yetu

BEHOLD

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Posts
5,133
Reaction score
10,846
Pongezi kwa JWTZ ambao wamemudu sana kuthibiti tatizo la vitambi kwa wanajeshi wake.

Najiuliza vipi majeshi mengine haswa POLISI?
Vitambi vimenawiri sana, kulikoni?

Majeshi yetu yanapaswa kuwa lean and nimble. Kwa vitambi hivi sidhana kama watamudu misukosuko mikali ya kijeshi.

Nimeacha kupandisha picha za mapolisi wetu niliokutana nao barabarani, lakini tatizo naona ni kubwa.
 
Cheki wenzetu...
0fgjhs7v3hqsmji3u.dc28071d.jpg
 
Siku moja jichange uingie kwenye anga zao ndiyo utajua kwani umeme unakatika ili hali hauna kiuno kuwa na kitambi siyo kwamba utakuwa mzito kuna watu ni wana miili ya kawaida ila wazito sana
 
Pongezi kwa JWTZ ambao wamemudu sana kuthibiti tatizo la vitambi kwa wanajeshi wake.

Najiuliza vipi majeshi mengine haswa POLISI?
Vitambi vimenawiri sana, kulikoni?

Majeshi yetu yanapaswa kuwa lean and nimble. Kwa vitambi hivi sidhana kama watamudu misukosuko mikali ya kijeshi.

Nimeacha kupandisha picha za mapolisi wetu niliokutana nao barabarani, lakini tatizo naona ni kubwa.
Kapicha japo basi
 
Back
Top Bottom