Kodi kubwa inadepend Na thamani ya kitu unachonunuaNi kwanini allion, INA kodi kubwa kuliko premio? Binafsi ninapenda muonekano wa allion, je kuna tofauti? Yeyote? Mapungufu?
Ni kwanini allion, INA kodi kubwa kuliko premio? Binafsi ninapenda muonekano wa allion, je kuna tofauti? Yeyote? Mapungufu?
2001 hadi 2004 ndio nimeangalia TRAZa mwaka gani?