king herode
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 368
- 566
Kwa yeyote Aliyewahi kusoma stereochemistry,pale udsm na kama ushawahi kufanya research kubwa kubwa za organic chemistry tumeondokewa na nguli wa stereo chemistry aliyewahi kuwa moja ya wataalamu wa bodi ya ewura Dr. Mdachi a.k.a enantiomer amefariki dunia. Alikuwa amelazwa kwa muda mfupi sana ila usiku wa kuamkia leo ametwaliwa na Mwenyezi Mungu.
The good one are always the first go
========
Mh. Profesa Sospeter M. Muhongo amemteua Dk. Steve Mdachi kuwa Mwenyekiti Bodi ya PBPA
The good one are always the first go
========
Mh. Profesa Sospeter M. Muhongo amemteua Dk. Steve Mdachi kuwa Mwenyekiti Bodi ya PBPA