chankele kigoma
Senior Member
- Jan 12, 2017
- 199
- 121
Niswala ambalo haliingii kichwani unaposikia badala ya police kuendelea kuwasaka WASIOJULIKANA eti wanatafuta tisheti za Lissu aibu gani hii jamani
Niswala ambalo haliingii kichwani unaposikia badala ya police kuendelea kuwasaka WASIOJULIKANA eti wanatafuta tisheti za Lissu aibu gani hii jamani
Pole mkuu naona washakupiga BanMkuu, sio wao, Ni maagizo ya Maliyamungu!
Yote wanasaabisha wao mm nadhani kama hao wasio julikana wangepatikana sidhani kama laia wangewa vaa tisheti hizoAlgeria machafuko ya kupinga serikali yalianzishwa na kijana msomi aliyeamua kujichoma moto baada ya kuudhiwa na serikali.
Watu walijikusanya taratibu wakishangaa na kunong'onezana na hatimaye mikusanyiko ikawa mikubwa kiasi serikali ikashindwa kuidhibiti na hatimaye nchi ikapinduliwa.
Sasa hili la fulana ni dogo kwa MTU wa kawaida lkn ni kubwa saana kwake likiachwa na watawala likatembea kama mmea wa matembele uwepo wa dola unaweza tetereka.
T-shirt ni kwa ajili ya TL sio waliomjeruhi.Yote wanasaabisha wao mm nadhani kama hao wasio julikana wangepatikana sidhani kama laia wangewa vaa tisheti hizo
Wnafanya hayo kwa kuina ndo njia ya kuiikisha ujembe kwasababu kamatunavo faham Tanzania hata maandamano ya amani yamepigwa marufuku. Hao police watuletee hao wasio julikana waone kama watu hawatulii
Asante Mkuu, kuna huyu mtu wa Lumumba aliniponza, niliambiwa nimemfanyia name calling.Pole mkuu naona washakupiga Ban
Wamelaaniwa sana, hata wabarabarani sana laana. Jana wamenikamata kwa kosa la kusahau ID nyumbani...nikawaacha na chombo cha moto, nikawaletea ID eti wanakomaa faini Elfu 30, nmewapa yule anayeandika faili akanirudishia Elfu kumi alafu akamwamuru mwenzie eti mrudishie funguo aende zake. Shenzi nmewakalili pumbavu zenu, tutaonana mbuzi nyie!!. Nikiwakuta nitawaflashi kwa matairi ili nikadaiwe rushwa gerezani...pimbi kweli hao washenzi!!
Huwa sinaga mshipa wa uoga hata kidogo. Titi for tat!!Utakuwa chakula cha nyampara na wababe wa huko jela , wewe jitoe ufahamu eti utawaflash maaskari kwa tyres.
Itakula kwako, utarudi bila marindariouassss
Huwa sinaga mshipa wa uoga hata kidogo. Titi for tat!!
Unajuaje Mkuu pengine labda humo humo ndani ya hizo ' Tisheti ' ndiyo wapo hao ' Wasiojulikana ' wamejifichia huko?
Waende kwao wakapekue.Niswala ambalo haliingii kichwani unaposikia badala ya police kuendelea kuwasaka WASIOJULIKANA eti wanatafuta tisheti za Lissu aibu gani hii jamani
Utoto bado unakusumbua, ngoja ukue kue kidogo ndpo utaelewaUzuri ni kuwa majibu yatakuja kitaaa kuwa ulitolewa marinda .
Endelea kujifariji hiyo ni hulka ya wanadamu wengi.