Ni mwanachama NSSF lakini sifaidiki na fao lolote

omereyo

JF-Expert Member
Oct 20, 2012
308
91
Nachangia nssf kwa miaka 15 sasa lakini kama mwanachama sifaidiki Na FAO lenu hata moja.embu boresheni ufanisi ili hata hayo mafao tuyapate yote.
 
wewe ndo uboreshe maisha yako!! miaka kumi na tano hujapata hata mimba, fao la uzazi tutakupaje sasa!?
 
Wewe kama hubebi mimba fao utalipata vipi? Au una hamu na matatizo upate labda msiba, ulemavu, ugonjwa vinginevyo subiria uzeeke au kaulizie nyumba kama bado wanazo.
 
hata mikopo yao sharti uwe na biashara.wakati nna dhamana ya mamilioni.....duh
 
Wewe kama hubebi mimba fao utalipata vipi? Au una hamu na matatizo upate labda msiba, ulemavu, ugonjwa vinginevyo subiria uzeeke au kaulizie nyumba kama bado wanazo.
hizo nyumba c geresha tuu.wachangiaji mamilioni nyumba mia mbili
 
Back
Top Bottom