Malalamiko ya watumiaji wa Methadone wa Hospitali za Muhimbili, Mwananyamala na Temeke

tramadol

JF-Expert Member
Oct 10, 2015
5,383
4,317
Waathirika wa madawa ya kulevya aina ya Heroin walioamua kuacha na kuingia Katika tiba mbadala ya Methadone Katika hospitali za Mwananyamala, Temeke na Muhimbili wamekuwa wakilalamika kuhusu dawa hiyo ya methadone kuwa nguvu yake imepungua sana kwa wiki moja au mbili Sasa kiasi cha kufanya kukosa usingizi na wengine kuingia ktk uhatatishi wa kutumia vitu kama pombe ili kufidia gap hilo na wengine kurudi kabisa vijiwenu kutafuta unga kabisa kutoka na kujisikia vibaya kabisa kwa upungufu wa methadone mwilini.

Na Kuna wengine wanadai hata kuongezewa dose za kila siku ili kufikia kiwango ambacho hawezi tena kukosa usingizi au kwa ujumla zile withdrawal signs symptoms.

Bado hawajaelewa kimetokea nini Katika dawa hiyo ambayo wamekuwa wakiitumia vizuri tu toka ilipoanzishwa kwa mara ya kwanza nchini ktk hospital ya Muhimbili

Kwasababu ile ladha yake imebadilika na madaktari wamekuwa wakiwasihi wasijekutumia vilevi vingine ni hatari kwa Afya zao.

Labda wajuzi wa methadone wanaweza kuwa na majibu yoyote Katika hilo.

Kumbuka Janga la madawa ya kulevya kubwa sana na linazidi kuangamiza nguvu kazi ya Taifa.​
 
Asante kwa taarifa, shauri lao litatuliwe kama inafaa
Kabisa Joseverest maana kama watarudi tena kule kule ni hatari sana.

Mfano wale wale waliokuwa wanatumia drugs kwa njia ya kujichoma ni hatari kupata magonjwa kama HIV,Homa ya Ini B na CC,Syphilis na magonjwa wengine yanayoambukizwa kwa njia ya damu.
 
Mkuu, tramadol...naomba unisaidie madhara ya kutumia tramadol kipindi kirefu..km mwezi mzima kwa,kumeza 2x3... Kwa lengo la kupunguza maumivu ya mguu.. Side effect yake ni nn mkuu??asante
 
Pole kwanza...matumizi ya muda mrefu dawa kama hizi tunazoziita Narcotic.. Opioid Kuna mengi sana ila machache..

Kwanza inaweza kukuzoea na isikusaidie ktk kupunguza maumivu kwa maana kuwa ikawa Tegemezi yaani Addicted.Hii inatokana na kila siku kuongea dose kidogo kidogo mwisho wa siku hata utumie vipi maumivu yapo ndiyo maana ikawa unaongeza dose kwasababu hizi narcotics zinaleta hali fulani ya Ku relax mind na kupungua maumivu ila ikiisha tu unataka ile ile na si nyingine na maximum ya dose kwa siku ni 400mg

Pili matumizi ya siku nyingi unaweza kutompa mtu mimba au kushika mimba kwa mwanamke kutoka na kusababisha infertility huzalishaji na kupevuka kwa mayai Kuna kuwa hafifu sana.

Na uliizoea sana unachanganya na narcotics zingine au hata pombe unaweza kusababisha overdose na hata kifo.

Hayo ni machache sana ina mambo mengi sana na ni moja ya dawa ambayo haitakiwi kutumia ovyo ovyo
 
Maelezo yana reflect jina lako....gd explanation mkuu
 
Kabisa Joseverest maana kama watarudi tena kule kule ni hatari sana.

Mfano wale wale waliokuwa wanatumia drugs kwa njia ya kujichoma ni hatari kupata magonjwa kama HIV,Homa ya Ini B na CC,Syphilis na magonjwa wengine yanayoambukizwa kwa njia ya damu.
Kabisa mkuu, wakipuuziwa itakuwa hasara ya kujitakia kwa jambo ambalo linaweza kutatulika
 
Nafikiri kunakipindi inabidi hiyo dozi huwa inapunguzwa polepole na baadaye mgonjwa anaacha kabisa. Inawezekana hao wagonjwa wanataka kutumia methadone kama mbadala wa heroin na hawana nia ya dhati ya kuacha madawa.
 
Issue siyo kuwa hawataki kuacha madawa.Issue hapa na mabadiliko ya ghafla ya methadone kuhusu kuisha haraka mwilini na kupata withdrawal symptoms
 
Nafikiri kunakipindi inabidi hiyo dozi huwa inapunguzwa polepole na baadaye mgonjwa anaacha kabisa. Inawezekana hao wagonjwa wanataka kutumia methadone kama mbadala wa heroin na hawana nia ya dhati ya kuacha madawa.

Hiyo dozi huwa haichwi wala kupunguzwa hivi hivi tu inaweza kuchukua hata miaka mitatu au zaidi ndio muathirika anaanza kutumia mwenyewe taratibu hata bila uangalizi.

Sasa hao akina chidbez wanatakiwa waendelee kuwa quarantined na wasikae wenyewe kabisa
 
Pole kwanza...matumizi ya muda mrefu dawa kama hizi tunazoziita Narcotic.. Opioid Kuna mengi sana ila machache..

Kwanza inaweza kukuzoea na isikusaidie ktk kupunguza maumivu kwa maana kuwa ikawa Tegemezi yaani Addicted.Hii inatokana na kila siku kuongea dose kidogo kidogo mwisho wa siku hata utumie vipi maumivu yapo ndiyo maana ikawa unaongeza dose kwasababu hizi narcotics zinaleta hali fulani ya Ku relax mind na kupungua maumivu ila ikiisha tu unataka ile ile na si nyingine na maximum ya dose kwa siku ni 400mg

Pili matumizi ya siku nyingi unaweza kutompa mtu mimba au kushika mimba kwa mwanamke kutoka na kusababisha infertility huzalishaji na kupevuka kwa mayai Kuna kuwa hafifu sana.

Na uliizoea sana unachanganya na narcotics zingine au hata pombe unaweza kusababisha overdose na hata kifo.

Hayo ni machache sana ina mambo mengi sana na ni moja ya dawa ambayo haitakiwi kutumia ovyo ovyo
Wasiwasi wangu ni kuwa hicho ndicho kilichotokea baada ya matumizi ya muda mrefu ya dawa ya methadone. Sasa wanahitaji dose kubwa ili kufikia kupata afueni ya muda.
 
Methadone wanaanza na dose ndogo mara nyingi kipimo cha 30 then wanapandishiwa mpaka mtumishi atakapokuwa hapati tena withdrawal symptoms.

Atakaa hapo kwa muda huku akipata ushauri mbalimbali then tapering down process itafanyika siku hadi siku mpaka atakapo exit kwenye matumizi ya methadone.

Inaweza kuchukua miaka 2 hadi 3
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom